Wakazi: Wakati wasanii wanafight kwenda kimataifa Mimi huko ndiyo kwetu

Wakazi: Wakati wasanii wanafight kwenda kimataifa Mimi huko ndiyo kwetu

Mafanikio makubwa kwenye career yake ni kupiga picha na Kanye west & Wiz khalifa. Music content wise ni 0 yani Sifuri. Anaupenda sana muziki ila muziki haumpendi, angewekeza jitihada zake kwenye angle nyingine ya muziki kama vile Promotion au management inawezekana angekuwa na mafanikio zaidi
Wakazi nilianza kumfahamu alipoenda peform Big Brother Africa na kipindi hicho nilishtuka kuona msanii gani wa Tz anapewa platform kubwa kama ile na simjui..

Hata hivyo sidhani kama content wise ni sifuri maana asingefika hata sauti za Busara. Na unajua huko hawajali commercial success kuliko artistry ya msanii
 
Wakazi kaonyesha uwezo mkubwa kwenye muziki wa Taarab kwahiyo ni muda sahihi kwake kwenda pale Magomeni Lango la jiji kujiunga na kundi la muziki wa mwambao
 
Mafanikio makubwa kwenye career yake ni kupiga picha na Kanye west & Wiz khalifa. Music content wise ni 0 yani Sifuri. Anaupenda sana muziki ila muziki haumpendi, angewekeza jitihada zake kwenye angle nyingine ya muziki kama vile Promotion au management inawezekana angekuwa na mafanikio zaidi

Aliwahi kuwa manager wa dadaake Lady Jay Dee uliza alimfikisha wapi 😅
 
“Tangu 2013 nilikuwa sijaenda America mpaka 2021 sababu nilidhamiria kujijenga na kufanya vizuri zaidi kwenye local market (Tanzania) wakati mimi naweka nguvu zaidi kutaka kujijenga zaidi local, wasanii wengi wa Tanzania wanataka kwenda international, na mimi huko ndio nyumbani!” -Wakazi

Hivi huyu wakazi....ukiachana na kujimwambafai ni hit song gan anayo?

Hata hit moja hana zaidi ya kusema kafika amerika.
 
Back
Top Bottom