Wakazi: Wakati wasanii wanafight kwenda kimataifa Mimi huko ndiyo kwetu

Wakazi: Wakati wasanii wanafight kwenda kimataifa Mimi huko ndiyo kwetu

Wakazi Webiro Wasira,,, nayajua majina yake yote matatu ila sijui nyimbo yake hata moja. Anyways...!
 
Wakazi Swagger bovu mshikaji anajua lakini watu wengi hawamwelewi cjui kwa nini!
 
Mwambieni ukweli kwenye muziki anapoteza muda tu
 
Wakazi Swagger bovu mshikaji anajua lakini watu wengi hawamwelewi cjui kwa nini!
Ni kama akina Mose Def na Pharaoh Monche vijana wengi enzi zetu walikuwa hawawselewi. Kama Mose Def ana heshima kubwa kimuziki,wanaojua hip hop kiundani wanamkubali ila kwa mafanikio tunayoyawaza hajafanikiwa kama akina Rick Ross, 50 Cents etc
 
Watu wanaopenda majigambo ndio wanaopendwa kwenye maskani za majobless, wakishakula mjani wamsikilize kwa makini lazini story zenyewe hazina maendeleo
 
Back
Top Bottom