Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
26,021
Reaction score
79,710
Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi.

Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay

Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao

Israel wanagoma katiba kubadilishwa kuwa ya kidikteta Netanyahu said to now back overhaul freeze; anti-riot police clear out Tel Aviv rally

Ureno wameandamana kuhusu hali ngumu ya maisha Thousands protest in Portugal over cost-of-living crisis

Sir Lanka wameandamana kuhusu uchaguzi Sri Lanka Police Fires Tear Gas at Election Protest; 15 Injured

Kenya wanaandamana hali ngumu ya maisha Kenya protests: Raila Odinga's convoy tear-gassed in Nairobi

South Africa wanaandamana hali ngumu ya maisha S. Africa Police, Soldiers Deploy for Opposition-Led Protests

Sisi Tanzania tunaishiaje kulalamika mitandaoni kuhusu katiba mpya? Kuhusu hali ngumu ya maisha? Demokrasia? Kubakwa kwa uchaguzi? N.k.

Tulilogwa na nani? Najiuliza tu!!

Erythrocyte Mmawia brazaj Arovera Mrs Lissu johnthebaptist
 
Sisi tulishaaminishwa kwamba kuandamana ni kuvuruga amani ya nchi - mtu anayeandamana kwa sasa anaonekana ni msaliti kwa nchi, wavuruga amani ya nchi.

Kama una malalamiko basi tumia njia za kisheria kudai haki zako, mahakamani na si kuandamana.
 
Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi.

Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay

Ufaransa wanaandamana kutaka kubadilishwa sheria ya mafao

Israel wanagoma katiba kubadilishwa kuwa ya kidikteta Netanyahu said to now back overhaul freeze; anti-riot police clear out Tel Aviv rally

Ureno wameandamana kuhusu hali ngumu ya maisha Thousands protest in Portugal over cost-of-living crisis

Sir Lanka wameandamana kuhusu uchaguzi Sri Lanka Police Fires Tear Gas at Election Protest; 15 Injured

Kenya wanaandamana hali ngumu ya maisha Kenya protests: Raila Odinga's convoy tear-gassed in Nairobi

South Africa wanaandamana hali ngumu ya maisha S. Africa Police, Soldiers Deploy for Opposition-Led Protests

Sisi Tanzania tunaishiaje kulalamika mitandaoni kuhusu katiba mpya? Kuhusu hali ngumu ya maisha? Demokrasia? Kubakwa kwa uchaguzi? N.k.

Tulilogwa na nani? Najiuliza tu!!
Kenya tta alimwambia nyerere kuwa Ana tawala maiti.
Kodi zetu ama jasho ωαсеηge wachache mno wanalila. Kodi zinatumiwa ovyo. Mtu anaamua anajisainia mktaba wa software wa bilioni 69 kufuatilia umeme kukatika kweli jamani. Huku watoto wetu wakikosa dawati na walimu wa masomo ya sayansi ,wamama wajazito wakifia zahanati hazina watalaamu au vifaa husika kujifungua salama.

Hii nchi siku maiti wakiamka mpka Kiama sijui.

Yaani wanachezewa Kama maiti kweli.vyeo wanapeana walewale wengine wakimbiwa wajiajiri. Kuna huyu mavura akateuliwa tokea kwa kikwete akaandika wataka kuwa tuna matatizo tusimsumbue kumuomba kazi mbona wahindi na waarabu hawatafuti kuajiriwa ama tujifunze kwa akina kairuki kuwa na biashara ya familia
 
Erythrocyte Mmawia brazaj Arovera Mrs Lissu
Mkuu kila Watanzania wanapizi kuangazwa na mwenge wa uhuru wanazidi kuwa wavivu kufikiri na kuamua. Wafanya ibada ya wazi ya sanamu na kuzidi kupotea kimwili na kiroho.
 
Kenya tta alimwambia nyerere kuwa Ana tawala maiti.
Kodi zetu ama jasho ωαсеηge wachache mno wanalila. Kodi zinatumiwa ovyo. Mtu anaamua anajisainia mktaba wa software wa bilioni 69 kufuatilia umeme kukatika kweli jamani. Huku watoto wetu wakikosa dawati na walimu wa masomo ya sayansi ,wamama wajazito wakifia zahanati hazina watalaamu au vifaa husika kujifungua salama.

Hii nchi siku maiti wakiamka mpka Kiama sijui.

Yaani wanachezewa Kama maiti kweli.vyeo wanapeana walewale wengine wakimbiwa wajiajiri. Kuna huyu mavura akateuliwa tokea kwa kikwete akaandika wataka kuwa tuna matatizo tusimsumbue kumuomba kazi mbona wahindi na waarabu hawatafuti kuajiriwa ama tujifunze kwa akina kairuki kuwa na biashara ya familia
Nchi ya ajabu kweli. Tunatukanwa na kukejeliwa na tuliowapa dhamna. Unaambiwa kama bundle bei ghali nunua vocha usijiunge, kama hali ni ngumu hamia Burundi, mimi ni dokta wa uchumi sishauriwi. Mwigulu Nchemba kweli brother, kweli?
 
Watanzania hasira wanatoleana majumbani.

Huko Mbeya mama wakinyakyusa amtangwa kijana wake na kuni ya kichwa kisa kupoteza buku aliyotumwa gengeni.

Halafu huko serikalini ndio kwanza hawana habari wameshajipikia takwimu zao basi; wanajiaminisha ndio ukweli wenyewe.
 
Watanzania walishaaminishwa maisha yao kuwa magumu ndo uhalisia wenyewe, kwa hiyo wazee wa kujipimia kwa kamba na wale walamba asali hawana bughudha yoyote kwenye kula mema ya nchi.
Hatujifunzi kwa wenzetu waliondelea? Mbona maisha yao mazuri lakini bado wakiona kuna jambo halipo sawa wanasema hadharani?
 
Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi.

Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay

Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao

Israel wanagoma katiba kubadilishwa kuwa ya kidikteta Netanyahu said to now back overhaul freeze; anti-riot police clear out Tel Aviv rally

Ureno wameandamana kuhusu hali ngumu ya maisha Thousands protest in Portugal over cost-of-living crisis

Sir Lanka wameandamana kuhusu uchaguzi Sri Lanka Police Fires Tear Gas at Election Protest; 15 Injured

Kenya wanaandamana hali ngumu ya maisha Kenya protests: Raila Odinga's convoy tear-gassed in Nairobi

South Africa wanaandamana hali ngumu ya maisha S. Africa Police, Soldiers Deploy for Opposition-Led Protests

Sisi Tanzania tunaishiaje kulalamika mitandaoni kuhusu katiba mpya? Kuhusu hali ngumu ya maisha? Demokrasia? Kubakwa kwa uchaguzi? N.k.

Tulilogwa na nani? Najiuliza tu!!

Erythrocyte Mmawia brazaj Arovera Mrs Lissu
Dogo we jitafutie rizki yako mengine waachie Wenye nchi yao 🙏hakuna mtz atakuelewa kuhusu kuandamana ikiwa hata keki ya taifa wanagawana wenyewe na watoto zao 🏃
 
mambo ya vyama vya upinzani yanatuangusha sana ona sasa hivi wako kwenye maridhiano badala ya kufanya mambo ya msingi kwa ajili ya Taifa
 
Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi.

Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay

Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao

Israel wanagoma katiba kubadilishwa kuwa ya kidikteta Netanyahu said to now back overhaul freeze; anti-riot police clear out Tel Aviv rally

Ureno wameandamana kuhusu hali ngumu ya maisha Thousands protest in Portugal over cost-of-living crisis

Sir Lanka wameandamana kuhusu uchaguzi Sri Lanka Police Fires Tear Gas at Election Protest; 15 Injured

Kenya wanaandamana hali ngumu ya maisha Kenya protests: Raila Odinga's convoy tear-gassed in Nairobi

South Africa wanaandamana hali ngumu ya maisha S. Africa Police, Soldiers Deploy for Opposition-Led Protests

Sisi Tanzania tunaishiaje kulalamika mitandaoni kuhusu katiba mpya? Kuhusu hali ngumu ya maisha? Demokrasia? Kubakwa kwa uchaguzi? N.k.

Tulilogwa na nani? Najiuliza tu!!

Erythrocyte Mmawia brazaj Arovera Mrs Lissu
Mmelogwa na ccm,mliipenda wenyewe hata mvimbe mpasuke,ccm mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom