Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 1,773
- 3,201
Ohoooo!! Kumbe haujui eeee! Kama haujagundua nchi hii ina-ugonjwa mbaya sana wa kuzungukana. Yaani vyama vya upinzani vyenyewe vinazungukana. Si unaona Peoples Power baada ya kuwekewa kibunda mezani wamewaacha wengine njiapanda. Kioindi cha JPM baadhi ya wanasiasa wa upinzani waliwazunguka wenzao mfn. Covid 19 mpaka na leo tunadanganywa na kesi ya mchongo tuu, wengine mpaka sasa ni N/W kwenye baadhi ya wizara wengine wameishia kuwa DCs.....aiseee kila mtu analinda ugali wake hii nchi tuna kariba yetu ya aina yake. Hayo mambo ya maandamano sisi tuishie kuyaangalia kwa wenzetu tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app