Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

Ohoooo!! Kumbe haujui eeee! Kama haujagundua nchi hii ina-ugonjwa mbaya sana wa kuzungukana. Yaani vyama vya upinzani vyenyewe vinazungukana. Si unaona Peoples Power baada ya kuwekewa kibunda mezani wamewaacha wengine njiapanda. Kioindi cha JPM baadhi ya wanasiasa wa upinzani waliwazunguka wenzao mfn. Covid 19 mpaka na leo tunadanganywa na kesi ya mchongo tuu, wengine mpaka sasa ni N/W kwenye baadhi ya wizara wengine wameishia kuwa DCs.....aiseee kila mtu analinda ugali wake hii nchi tuna kariba yetu ya aina yake. Hayo mambo ya maandamano sisi tuishie kuyaangalia kwa wenzetu tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujarogwa! Ni wewe unakataa kusimama mbele na sisi tuka kufuata kuandamana. Twambie uliposimama sote watanzania tutaunga nyuma yako ili tuandamane kama wajerumani etc. Lakini tunaandamana kutaka nini?
 
Hatujarogwa! Ni wewe unakataa kusimama mbele na sisi tuka kufuata kuandamana. Twambie uliposimama sote watanzania tutaunga nyuma yako ili tuandamane kama wajerumani etc. Lakini tunaandamana kutaka nini?
Huna unachotaka? Hali yako nzuri? Unalamba asali?
 
JohntheBaptist nae unataka akupe Mawazo mbadala. Hapana!
 
kwani huwezi kudai haki yako bila kuandamana ?
HAKI huwa haiombwi. Unadai HAKI. Na unayemdai anajua athari za kukupa hiyo hali.

Akikupa hiyo hali maana amekukomboa kifikra na pengine kiuchumi, so Hali yake itakuwa mashakani.

CCM wanaweza kukupa katiba mpya lkn ambayo imebeba maudhui na maslahi ya CCM. Tume huru na uchaguzi huru Ni maafa kwao.

Kumbuka CCM ilishakufa miaka mingi Sana, CCM siyo chama Cha siasa kwa Sasa.Wanaishi kwa sababu ya uwepo wa polisi na majeshi kwa ujumla.Ni chama dola,kinategemea dola kuishi.

Jaribu kuitisha uchaguzi halafu polisi wakae mbali na ccm,.

Kudai haki kunaambatana na maumivu.

Haki siyo kitu ambacho Kiko mahali anaenda unajichukulia tu, km vile unapakua wali mezani.
 
mambo ya vyama vya upinzani yanatuangusha sana ona sasa hivi wako kwenye maridhiano badala ya kufanya mambo ya msingi kwa ajili ya Taifa
Baada ya maridhiano wanatakiwa waunde coalition ya upinzini
 
Ikumbukwe Mbowe alijaribu yakaja ya Akwirina,kiuharisia akafungwa na kubughudhiwa mali zake familia ikateaeka kwa kesi kibao,jaribu kwa namba tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ