Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
She is the first lady.
Bado sioni sababu ya huyo jamaa kuja kuuliza swali hili hapa, Yeye yupo huko huko Ujerumani, hivyo ana nafasi nzuri sana ya kupata majibu juu ya ujio wa Bi S. Karume. Zaidi ametusaidia kujua kuwa mama Karume yupo huko.Huyu bwana ametaka kujua kuhusu ujio wa huyu mheshimiwa. Ni haki yake kama mtanzania. Kwa nini basi asijibiwe? Mama anaongoza msafara kutoka Zanzibar, mama ana kabiashara kake ka'tours', mama yuko kwenye safari ya kibinafsi n.k. Huyu ni public figure na watu wana haki ya kutaka kujua. Hii dhana ya kukataa watu wengine wasiulizwe ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo. Ukweli ni kwamba ubalozi ungewatangazia watanzania walio huko kuhusu ujio wa huyu mama pasingekuwa na tatizo. Tujaribu kuwa wazi katika mambo yetu.
Balozi wa ujerumani ni Balozi Ngemera kwa sasa,ila mie sioni ubaya kwa mama shadya kwenda kule,ni mmoja wa watanzania.hii ipelekwe katika udaku.Mama karume hawezi kuwa na deligate kubwa.zaidi ya mlinzi wake na wasaidizi wasiozidi watatu.Hapo Berlin balozi wetu nadhani ndugu yake rais wa ZNZ. Na yuko hapo miaka mingi tuu
tukisema Foreign imeoza kuliko BOT tunaambiwa tunafanya fitna.
guys, let me conducting management 101 for a second.
Tanzania economy depends on donors for over 40%, hatuna formular ya maana kukusanya kodi. We have a big government more than some of the developed countries. If you have a big government that means you have high expenses to run it. When you spend more on nonsense expenses you end up to reduce some money on important task.
Tatizo sio huyo Mama kuwepo Germany, tatizo ni who is paying all that money? Sababu Kama wananchi wanalipa 30% in their income tax, then they expect reconstruction of infrastucture, good health care, good education for their children and other important things. Wananchi doesn't expect their tax to fund first class tickets for kila mke wa kiongozi nchini
No one will question kama huyu Mama amekwenda huko kwa kutumia pesa za mumewe, lakini kama anatumikisha wafanyakazi wa Ubalozini then we have problem. Sababu kwanza Balozi zetu ni butu, haziwezi kujiendesha hata kwa 24 hours, then na gharama ya kuzungusha wake wa vigogo kwenye shopping malls zilipwa na wananchi? We need a brake.
Hawa viongozi wa juu wa serikalini tuwalipie rent, gas price, ada za University kwa vilaza wao, wake zao wakija nje wazungushwe kwa pesa zetu, nauli za first class wakatiwe kwa pesa zetu. Then tunalalamika budget haitoshi inabidi tuongezewe misaada.
Mwalim J.K. Nyerere alisema "shona suti kutokana na ukubwa wa kitambaa", maana yake kama kitambaa chako ni nusu futi basi mwambie fundi ashone kaptula, na sahau kuhusu kizibao. Same to our government, if Tanzania government wants to succeed, there is a need to run it as private organization. Means you prepare budget with the amount money on your hands, you cut all nonsense expenses, then you increase the fund on production area. I don't know why hatuwapi nchi wachumi, Opps nimesahau kwamba Jakaya nae mchumi. Then we need to try Engineers
Bado sioni sababu ya huyo jamaa kuja kuuliza swali hili hapa, Yeye yupo huko huko Ujerumani, hivyo ana nafasi nzuri sana ya kupata majibu juu ya ujio wa Bi S. Karume. Zaidi ametusaidia kujua kuwa mama Karume yupo huko.
So what? Who said if your first laidy then you have to put us in debt?
Huyu bwana ametaka kujua kuhusu ujio wa huyu mheshimiwa. Ni haki yake kama mtanzania. Kwa nini basi asijibiwe? Mama anaongoza msafara kutoka Zanzibar, mama ana kabiashara kake ka'tours', mama yuko kwenye safari ya kibinafsi n.k. Huyu ni public figure na watu wana haki ya kutaka kujua. Hii dhana ya kukataa watu wengine wasiulizwe ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo. Ukweli ni kwamba ubalozi ungewatangazia watanzania walio huko kuhusu ujio wa huyu mama pasingekuwa na tatizo. Tujaribu kuwa wazi katika mambo yetu.
Mugishagwe,Haya wacha niseme kwamba kaja yeye na mlinzi wake na wasaidizi wake 3 kumla yao ni 5 hawa . Wanalala Hotel ipi ? Kila mmoja na chumba chake , usafiri, calls making , na mengine mengi.Biashara imemleta kwa jina la na gharama za walipa kodi? Mimi sikatai yeye kuja Ulaya mbona na mimi nimekuja kwenye hii kazi .Shida yangu ni gharama kuanzia airplane hadi mengine .
Eh! Mugi, naona umeamua kweli kulivalia njuga. Any way, uko right kabisa ila kwa kweli mi naona kama ni jambo dogo sana. Kwa nchi kama ya kwetu kutumia hela za mvuja jasho kwa mambo kama hayo huwa imeshakuwa kawaida. Kwakweli kuna ufujaji mkubwa kuliko huo ambao hata inatia kinyaa!!!!!!!!!!
Eh! Mugi, naona umeamua kweli kulivalia njuga. Any way, uko right kabisa ila kwa kweli mi naona kama ni jambo dogo sana. Kwa nchi kama ya kwetu kutumia hela za mvuja jasho kwa mambo kama hayo huwa imeshakuwa kawaida. Kwakweli kuna ufujaji mkubwa kuliko huo ambao hata inatia kinyaa!!!!!!!!!!
Mugishagwe, nakuunga mkono, mkuu, humu kuna watu wako busy to get you off message.
Unachokifanya ni sahihi ni political issue na si udaku. Hakuna habari yoyote official (official communication) iliyotolewa na serikali (muungano au visiwani) kuhusu ziara ya Mama Karume. If so, swali ni ameenda binafsi au nini?
It is a valid point na si kitu kidogo kama wanavyosema wengine hapa. Hii ndiyo accountability. Sasa kesi kama hii ingekuwa Marekani au any EU country mbona ingeonekana kama utumiaji mbaya wa fedha za umma. Nakumbuka kwamba hata ziara za ma-senator na wengine huwa zinafuatiliwa kwa karibu. Serikali si ya watawala! Serikali ni ya kwetu. Kodi tunayolipa mimi na wewe ndiyo inayowapa uwezo wa kupata mishahara etc, kwa hiyo ni haki yetu kujua hata kama wanafuja sh 50! Hii ya kusema ni ufujaji mdogo ni mentality from Ujamaa mkifikiri mali ya umma iko bali kuharibiwa na kutumiwa vibaya esp by cronies-in-charge!
NO! Hii ni issue ya kuwa discussed openly!
Tatizo ni kuifanya JF sehemu ya kupika majungu..Tatizo liko wapi?