Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Mkewe ndugu Karume Shady yuko hapa Berlin .Kuna maonyeshoi makubwa sana Utalii yanaitwa ITB na Tanzania wameleta makampuni yapatayo 70.Katika msafara huo wa Zanzibar yuko Mama Shady ambaye sasa kwa status yake Ubalozi hawatulii wana hangaika naye kwa kila hali .Hizi ni gharama na bado sijajua kafuata nini .Kwa mbali napata fununu eti amekuja kuongeza nguvu sijui nguvu kazi kwenye maonyeshao haya .Nimelazimika kuuliza kama kuna mtu anajua labda huyu Mama ni mwajiriwa wa Wizara ya Utalii bara ama visiwani .Vinginevyo nimebaki nashangaa kilicho mleta au labda ana kampuni ya utalii kaja mwenyewe kugawa Brochures nk .

Maoni nadhani huu ni mzigo namatumizi mabaya ya madaraka na pesa ya mlipa kodi .Hawezi kusema kama kushuhudia ufunguzi wa maonyesho kwa kuwa naamini hata kutambuliwa na wenyeji ambao ni Ujerumani hawajui.Ubalozi sasa una kazi ngumu na yeye kaja na watu wake .Mnaojua mambo hebu karibuni mseme kama kuna la maana katika hili atakuwa kaja kufanya kwa hali kama hii .

wewe unajua maana ya mzigo? Nimekutaka kutafuta usahihi wa madai yako kwani ni wewe pekee ambae upo Ujerumani na habari hii, laikini umeshindwa kufanya hivyo.... Zaidi hapa ni kama unaanza kutengeneza jungu

Tatizo la uongozi wa kikoloni tuliorithi ni kuwa viongozi wetu tumewafanya miungu wadogo. Kwanini matumizi ya ofisi ya raisi yasiwekwe wazi kama mwanzo wa uwazi kwa wizara nyingine?

Tayali umeamua kuhukumu pasipo kujua upande wa pili unasema nini, Simply Jungu limekupata vizuri..

Naamini watu wa Diplomasia na mambo haya wanasoma hapa mtu atupe undani wa hili tukio jamani .Kitu kinafanyika ?

You got the point...

mkuu mtu kama huyu sidhani kama iko mbaya kutembezwa na ubalozi..akipata tatizo wa kwanza kulaumiwa itakua ni ubalozi si wengine...
Nashangaa kwa nini tu wepesi kusahau.. Balozi Mwambulukutu alipo pata kibano tulilaumu sana ubalozi,sembesu huyu ...?

JF ni zaidi ya majibu ya huyu ndugu na hatakuwa na majibu na huenda angelijibu sawa na wewe ulivyo toa maoni yako .

Umeshindwa kuthibitisha hoja yako ya kimajungu na udaku, na uzindaki...

Kwani kwenda kutalii Ujeruman nae HAIFAI?...Mugishagwe kuwa makini kaka!!!
Tatizo sio kutalii, Familia ya Karume zaidi ya Uprez' huko visiwani, ni wafanyabiashara wakubwa wa mambo ya kitalii...

hivi ni nini privilages za first ladies? je za mama Salma ambaye ni first lady wa jamhuri ya muungano zinalingana na za mama karume ambaye ni wa visiwani? ni nani anagarimia hizo, serikali ya muungano au serkali ya mapinduzi?
Zote sawa ....Zanzibar ni nchi kwa taarifa

guys, let me conducting management 101 for a second.
Tanzania economy depends on donors for over 40%, hatuna formular ya maana kukusanya kodi. We have a big government more than some of the developed countries. If you have a big government that means you have high expenses to run it. When you spend more on nonsense expenses you end up to reduce some money on important task.

Tatizo sio huyo Mama kuwepo Germany, tatizo ni who is paying all that money? Sababu Kama wananchi wanalipa 30% in their income tax, then they expect reconstruction of infrastucture, good health care, good education for their children and other important things. Wananchi doesn't expect their tax to fund first class tickets for kila mke wa kiongozi nchini
Mama Karume haitaji pesa ya walipa kodi za maendeleo, yeye kama mfanyabiashara ana kodi chungu nzima za kulipa, hebu niambieni kwanza mfumo wa ulipaji kodi TZ ukoje?
Zaidi ya wafanyakazi wa serikali na makampuni makubwa,waliobaki hulipa kodi ya aina gani hasa?

Mimi napenda kuuliza .Kwanza tangia ameingia juzi na jana ubalozi ulikuwa crippled kwa kuwa kila kitu sasa alikuwa kama Rais plus wakubwa kujipendekeza kulinda unga inakuwa ni balaa zaidi .

Jana wame mwaga bash la nguvu hadi usiku mnene .Gharama kama ni za Ubalozi bado ni pesa yetu Ubalozi hauna biashara ya kuzalisha .Ratiba ya leo sijaijua ila nikiijue nitasema .

Haya wacha niseme kwamba kaja yeye na mlinzi wake na wasaidizi wake 3 kumla yao ni 5 hawa . Wanalala Hotel ipi ? Kila mmoja na chumba chake , usafiri, calls making , na mengine mengi.Biashara imemleta kwa jina la na gharama za walipa kodi? Mimi sikatai yeye kuja Ulaya mbona na mimi nimekuja kwenye hii kazi .Shida yangu ni gharama kuanzia airplane hadi mengine .
Una matatizo makubwa wewe, hebu niambie kodi ya aina gani ambayo unalipa TZ? Kumbumka kuwa kuna mambo ya protokokali ambayo huna nafasi ya kuweza kuuliza.

Hapa naona unaongeza kuni kwenye jungu unalopika, na rahisi kuwaka kwa kasi kwani wengi wanaufahamu finyu kama wako...

Mugishagwe,

Hapo sasa nimekuelewa ..na watu 5 kwa kodi ya Watz maskini kuna haja kupiga kelele!

Ngoja nikokotoe gharama.

1. Air ticket Zbar- Ujerumani kwa daraja la kwanza..Tshs 3,000,000 X 5 = 15,000,000

2. Hoteli ya hadhi yake na wasidizi ni lazima iwe 5 Star zaidi ya 500,000 kwa siku na kama watakuwepo siku 5 ni 500,000 x 5 x 5 days =12,500,000

3. Usafiri hapo Berlin pamoja na msafara wake 500,0000 x 5 = 2,500,000

4. Perdiem (pesa ya shopping) kwa rate ya Berlin 100,000- 200,000 per day? 150,000 x 5 x 5 days= 2,750,000

5. Contingencies 5,000,000

Jumla Kuu 37,500,000 (Maximum limit)! Hata basi tufanye nusu ya hizo yaani 18,250,000 potelea mbali yaani minimum limits!

Hii pesa kwa nchi maskini inaweza kununua madawa kwa zahanati 5 kule Pemba kwa mwaka mzima..ikumbukwe kule Pemba waogonjwa wanarudishwa nyumbani kwa kukosa madawa!

My issue nani analipia hizi gharama? Halafu watu mnasema Tz ni nchi maskini na tunaomba msaada?

Well kama analipia kwa pesa yake ya mfukoni ni swala jingine...ila nitajiuliza Mama Karume atapata wapi over 30 m kufanya tu trip moja Ulaya?
This is nothing than majungu...

Malindi
Sasa habari ambazo nazipata sasa na za kibalozi ni kwamba Mama kuja kwenye maonyesho ilikuw alugha ya kuondokea.Leo anachoma anga zingine ,niko natafuta habari nitakupeni.Jana Ubalozi umemwaga dinner la nguvu kitu ambacho siamini kwamba pesa yake ya mfukoni kwake.Maana Ubalozi umehaha na hata sasa unahaha .Nina ogopa sana matumizi ya aina hii kwa kweli .Hakuna cha pesa yake no .Ni pesa ya mvuja jasho wa zanzibar ama bara .Visiwani asilimia 90 wanaishi maisha ya taabu sana kwa chai na ka mkate samaki wanagawana familia ya watu 7.Leo Shady na watu wake hil halijui ama ndiyo wameamua kumalizia muda wao maana mumewe hagombei tena ? Ntawapa zaidi kadiri nikizipata .
Kama huna cha kuandika ni bora kukaa kimya. SMZ ambao kwa namna moja ama nyingine ndio wangeweza kuhoji hili, soi wewe ambae hata kodi ya mwisho TZ hujiu umelipa lini...

Ni muhimu sana JF kupiga kelele kwa haya mambo.. hii hali ya woga na kukaa kimya ndo imeifikisha hii nchi hapa na watawala kuamua tu kufanya wanavyopenda...hata 1st Lady akienda Berlin na msafara wa watu 5 hii inaonekana ni sawa tu!!!

Mimi naona sii sawa! Na wale Wapemba maskini walio na mlo mmoja na ambapo hospitali hazina dawa.. je ni sawa kukaa kimya..na kuwaacha waendelee kuteseka??
Kelele zingine ni sawa na za Mirembe
 
The woman na ujumbe wake leo wame ondoka Ujerumani lakini wako Ulaya hii wanafanya mizunguko. Maana nilidhani kaja kwa maonyesho kumbe anatalii na yeye Ukaya hii .Hizi ndiyo habari kamili za huyu Mama Shady .
 
The woman na ujumbe wake leo wame ondoka Ujerumani lakini wako Ulaya hii wanafanya mizunguko. Maana nilidhani kaja kwa maonyesho kumbe anatalii na yeye Ukaya hii .Hizi ndiyo habari kamili za huyu Mama Shady .

Usisahau kutuambia siku atakaporudi Zenj..
 
The woman na ujumbe wake leo wame ondoka Ujerumani lakini wako Ulaya hii wanafanya mizunguko. Maana nilidhani kaja kwa maonyesho kumbe anatalii na yeye Ukaya hii .Hizi ndiyo habari kamili za huyu Mama Shady .
hehe mkuu ushakosa tenda tena kaondoka?Vizia akija mwingine!
 
Lazima tukubali first lady awe wa Muungano wa Zanzibar ana status yake, mimi sioni tatizo hapo sometimes tunakuza mambo tu
 
Lazima tukubali first lady awe wa Muungano wa Zanzibar ana status yake, mimi sioni tatizo hapo sometimes tunakuza mambo tu

Masatu, mimi hii suala la kuwa eti ana status na anastahili skubali kabisa. kama alikuja as private citizen well and good, but I doubt it. Kama ameenda official tunaomba tupewe taarifa, but naona kaenda kubembea Ulaya kwa pesa za walipa kodi, hiyo siyo 'haki'yake kama unavyofikiri maana hiyo European tour itacost pesa nyingi directly and indirectly. She has no right to squander pesa zetu tulizozifanyia kazi!
 
Susuviri,

Eti wanasema tunamwonea wivu!😕

Ile bunduki yangu iko wapi..nisije .... mtu😕

1st Lady na uchumi gani Visiwani aje kutembea Ulaya na msafara wa watu 5? Yeye anazalisha nini? Nini mchango wake ktk maendeleo ya Visiwani?

Hii mimi napinga kwa nguvu zote!

Tz we must prioritise better the way we spend our meagre resources na sii kutanua wakati watu wanakufa kwa njaa na hospitali kule Pemba hakuna dawa!

Yet leo tunakuwa Matonya JK anapitisha bakuli na kuomba pesa Ulaya kununua nets watoto wasife kwa malaria!

Huu ukimya ndo umetufikisha hapa!

Ufisadi sii tu wizi.. pia ni matumiza mapaya ya raslimali za watu maskini ktk matanuzi kama haya!
 
kuna watu walisema hawajawahi kumuona huyu bibie..anyway huyu hapa kavaa deri

t6.jpg
 
kuna watu walisema hawajawahi kumuona huyu bibie..anyway huyu hapa kavaa dira
t6.jpg
 
Karume's wife for what purpose here at JF?Hivi naomba kuuliza,hapa JF ni kijiweni?Kwamba you can do any thing you want to do?Hebu tambieni target ya JF ni nini kwa sababu naona tunakwenda kisengelenyuma.Sometimes tunadeal na vitu VYA MSINGI,sometimes tunafanya mzaha,msimamo wa JF ni upi?
 
Karume's wife for what purpose here at JF?Hivi naomba kuuliza,hapa JF ni kijiweni?Kwamba you can do any thing you want to do?Hebu tambieni target ya JF ni nini kwa sababu naona tunakwenda kisengelenyuma.Sometimes tunadeal na vitu VYA MSINGI,sometimes tunafanya mzaha,msimamo wa JF ni upi?

Mkuu don't panic, hiyo thread ni ya vibweka vya wakubwa. Relax after a hard work...
 
GT
halafu huyu first lady wa SMZ ni HAJJAT mwaka juzi alienda makka,au hii pic kabla hajaenda KUHIJI.
 
GT
huyo anaitwa HAJJAT BI SHADYA KARUME.

yaani najaribu kumuimagine siku ya Jumamosi mchana akiwa jikoni kuhu kavaa deri lake, mara sijui anaenda kutia udhu apate slat dhuhur huku anataka kuhakikisha anakula pamoja na Honey wake

yaani acha tuuu

Shekh Mo itabidi tuongee in PM
 
Back
Top Bottom