Wake wa Marais wetu na Mambo yao


wewe unajua maana ya mzigo? Nimekutaka kutafuta usahihi wa madai yako kwani ni wewe pekee ambae upo Ujerumani na habari hii, laikini umeshindwa kufanya hivyo.... Zaidi hapa ni kama unaanza kutengeneza jungu

Tatizo la uongozi wa kikoloni tuliorithi ni kuwa viongozi wetu tumewafanya miungu wadogo. Kwanini matumizi ya ofisi ya raisi yasiwekwe wazi kama mwanzo wa uwazi kwa wizara nyingine?

Tayali umeamua kuhukumu pasipo kujua upande wa pili unasema nini, Simply Jungu limekupata vizuri..

Naamini watu wa Diplomasia na mambo haya wanasoma hapa mtu atupe undani wa hili tukio jamani .Kitu kinafanyika ?

You got the point...

mkuu mtu kama huyu sidhani kama iko mbaya kutembezwa na ubalozi..akipata tatizo wa kwanza kulaumiwa itakua ni ubalozi si wengine...
Nashangaa kwa nini tu wepesi kusahau.. Balozi Mwambulukutu alipo pata kibano tulilaumu sana ubalozi,sembesu huyu ...?

JF ni zaidi ya majibu ya huyu ndugu na hatakuwa na majibu na huenda angelijibu sawa na wewe ulivyo toa maoni yako .

Umeshindwa kuthibitisha hoja yako ya kimajungu na udaku, na uzindaki...

Kwani kwenda kutalii Ujeruman nae HAIFAI?...Mugishagwe kuwa makini kaka!!!
Tatizo sio kutalii, Familia ya Karume zaidi ya Uprez' huko visiwani, ni wafanyabiashara wakubwa wa mambo ya kitalii...

hivi ni nini privilages za first ladies? je za mama Salma ambaye ni first lady wa jamhuri ya muungano zinalingana na za mama karume ambaye ni wa visiwani? ni nani anagarimia hizo, serikali ya muungano au serkali ya mapinduzi?
Zote sawa ....Zanzibar ni nchi kwa taarifa

Mama Karume haitaji pesa ya walipa kodi za maendeleo, yeye kama mfanyabiashara ana kodi chungu nzima za kulipa, hebu niambieni kwanza mfumo wa ulipaji kodi TZ ukoje?
Zaidi ya wafanyakazi wa serikali na makampuni makubwa,waliobaki hulipa kodi ya aina gani hasa?

Una matatizo makubwa wewe, hebu niambie kodi ya aina gani ambayo unalipa TZ? Kumbumka kuwa kuna mambo ya protokokali ambayo huna nafasi ya kuweza kuuliza.

Hapa naona unaongeza kuni kwenye jungu unalopika, na rahisi kuwaka kwa kasi kwani wengi wanaufahamu finyu kama wako...

This is nothing than majungu...

Kama huna cha kuandika ni bora kukaa kimya. SMZ ambao kwa namna moja ama nyingine ndio wangeweza kuhoji hili, soi wewe ambae hata kodi ya mwisho TZ hujiu umelipa lini...

Kelele zingine ni sawa na za Mirembe
 
The woman na ujumbe wake leo wame ondoka Ujerumani lakini wako Ulaya hii wanafanya mizunguko. Maana nilidhani kaja kwa maonyesho kumbe anatalii na yeye Ukaya hii .Hizi ndiyo habari kamili za huyu Mama Shady .
 
The woman na ujumbe wake leo wame ondoka Ujerumani lakini wako Ulaya hii wanafanya mizunguko. Maana nilidhani kaja kwa maonyesho kumbe anatalii na yeye Ukaya hii .Hizi ndiyo habari kamili za huyu Mama Shady .

Usisahau kutuambia siku atakaporudi Zenj..
 
The woman na ujumbe wake leo wame ondoka Ujerumani lakini wako Ulaya hii wanafanya mizunguko. Maana nilidhani kaja kwa maonyesho kumbe anatalii na yeye Ukaya hii .Hizi ndiyo habari kamili za huyu Mama Shady .
hehe mkuu ushakosa tenda tena kaondoka?Vizia akija mwingine!
 
Lazima tukubali first lady awe wa Muungano wa Zanzibar ana status yake, mimi sioni tatizo hapo sometimes tunakuza mambo tu
 
Lazima tukubali first lady awe wa Muungano wa Zanzibar ana status yake, mimi sioni tatizo hapo sometimes tunakuza mambo tu

Masatu, mimi hii suala la kuwa eti ana status na anastahili skubali kabisa. kama alikuja as private citizen well and good, but I doubt it. Kama ameenda official tunaomba tupewe taarifa, but naona kaenda kubembea Ulaya kwa pesa za walipa kodi, hiyo siyo 'haki'yake kama unavyofikiri maana hiyo European tour itacost pesa nyingi directly and indirectly. She has no right to squander pesa zetu tulizozifanyia kazi!
 
Susuviri,

Eti wanasema tunamwonea wivu!😕

Ile bunduki yangu iko wapi..nisije .... mtu😕

1st Lady na uchumi gani Visiwani aje kutembea Ulaya na msafara wa watu 5? Yeye anazalisha nini? Nini mchango wake ktk maendeleo ya Visiwani?

Hii mimi napinga kwa nguvu zote!

Tz we must prioritise better the way we spend our meagre resources na sii kutanua wakati watu wanakufa kwa njaa na hospitali kule Pemba hakuna dawa!

Yet leo tunakuwa Matonya JK anapitisha bakuli na kuomba pesa Ulaya kununua nets watoto wasife kwa malaria!

Huu ukimya ndo umetufikisha hapa!

Ufisadi sii tu wizi.. pia ni matumiza mapaya ya raslimali za watu maskini ktk matanuzi kama haya!
 
kuna watu walisema hawajawahi kumuona huyu bibie..anyway huyu hapa kavaa deri

 
kuna watu walisema hawajawahi kumuona huyu bibie..anyway huyu hapa kavaa dira
 
Karume's wife for what purpose here at JF?Hivi naomba kuuliza,hapa JF ni kijiweni?Kwamba you can do any thing you want to do?Hebu tambieni target ya JF ni nini kwa sababu naona tunakwenda kisengelenyuma.Sometimes tunadeal na vitu VYA MSINGI,sometimes tunafanya mzaha,msimamo wa JF ni upi?
 

Mkuu don't panic, hiyo thread ni ya vibweka vya wakubwa. Relax after a hard work...
 
GT
halafu huyu first lady wa SMZ ni HAJJAT mwaka juzi alienda makka,au hii pic kabla hajaenda KUHIJI.
 
GT
huyo anaitwa HAJJAT BI SHADYA KARUME.

yaani najaribu kumuimagine siku ya Jumamosi mchana akiwa jikoni kuhu kavaa deri lake, mara sijui anaenda kutia udhu apate slat dhuhur huku anataka kuhakikisha anakula pamoja na Honey wake

yaani acha tuuu

Shekh Mo itabidi tuongee in PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…