Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Sasa wewe Mbongo unalialia na hii ni habari njema? REDEEMER. joto la jiwe Geza UloleHAWA MABEBERU SIO WA KUAMINI SANA TAKWIMU ZAO WANAZITUMIA KWA KUHARIBU UCHUMI WA NCHI FULANI AU KWA KUUTANGAZA UCHUMI WA NCHI FULANI ,HAIWEZEKANI UCHUMI AMBAO ULIOKUA HATALINI UNAOKUA KWA KUSUASUA HALAFU 2020 UFIKIE KUA UCHUMI WA KATI View attachment 1185133
We were there even before you, we didn't rebase our figures because we want special borrowing sympathy kutoka kwa mabeberu na ndio maana tunafanya Makubwa yatayowachukua miaka 100 kufanya.
Sisi hatutaki Waafrika kutukanwa eti sie ni masikini ilhali kuna Nchi kama Tanzania wanapenda umasikini hadi world bank wameamua kuwatoa huko maana mkiwachiwa mtakaa huko milele. Wapenda umasikini mnatuchoshaWe were there even before you, we didn't rebase our figures because we want special borrowing sympathy kutoka kwa mabeberu na ndio maana tunafanya Makubwa yatayowachukua miaka 100 kufanya.
Mm niliwadharau walipo sema Kenya ni middle income c. Wakati watu wanaishi kwa slumHAWA MABEBERU SIO WA KUAMINI SANA TAKWIMU ZAO WANAZITUMIA KWA KUHARIBU UCHUMI WA NCHI FULANI AU KWA KUUTANGAZA UCHUMI WA NCHI FULANI ,HAIWEZEKANI UCHUMI AMBAO ULIOKUA HATALINI UNAOKUA KWA KUSUASUA HALAFU 2020 UFIKIE KUA UCHUMI WA KATI View attachment 1185133
Inaonesha hawana uhakika na data zao siku sio nyingi walitoa angalizo kuhusu uchumi wa TZ na wote mulishabikia mara hii wanasema 2020 utafikia uchumi wa kati walikua wanajalibu kuzui upepo kwa mwamvuli au?
Sisi watanzania atutaki kuitwa uchumi wa kati bora tuitwe masikini kumbe tuna maendeleo naomba serikali yetu ikanushe hii habari tuendelee kunufaika na kuwa low
Nakuunga mkono hapo dawa ni Magufuli kukanusha kuwa bado hatujafikia UCHUMI WA KATI atakuwa kawa weza kisaikolojia hao mabeberuWe were there even before you, we didn't rebase our figures because we want special borrowing sympathy kutoka kwa mabeberu na ndio maana tunafanya Makubwa yatayowachukua miaka 100 kufanya.
Tatizo wewe ni tony ungekuwa Tony ungekuwa na akili lakini sasa bure kabisa sasa logic ya kuitwa tajiri wakati ni masikini au kuitwa masikini wakati ni tajiriSisi hatutaki Waafrika kutukanwa eti sie ni masikini ilhali kuna Nchi kama Tanzania wanapenda umasikini hadi world bank wameamua kuwatoa huko maana mkiwachiwa mtakaa huko milele. Wapenda umasikini mnatuchosha
Wao mbona wanatuibia madini yetu kisheria acha na sisi tupate hela kwa unafuu nahisi KENYA IPO NYUMA YA HII AJENDA ILI TZ ITOLEWE KUNDI LA LOW INCOME KWA SABABU ya EPA ,maana wakenya wanadhani tz imekataa EPA kwa sababu ya kuwa low incomeLol....REDEEMER ati what?you wanted special borrowing kutoka kwa mabeberu?hivi bongo mbona mnakuanga akili finyu hivi na kuchanganyikiwa mingi...si nyie hushinda mkituimbia humu vile kenya tumeolewa na wazungu,sasa nyie mmeamua kususpend dignity ndio mpewe loan.there is NO DIGNITY in suspending your worth in order to be granted a favour,bure kabisa
Bora tuitwe masikini wakati ni matajiri kuliko kuitwa tajiri wakati ni masikini ,Hiyo ya kupenda kuitwa Matajiri wakati ni masikini tumewaachieni nyinyi wakenya kinacho wasumbua hao mabeberu ni wivu na chuki juzi walisema uchumi unakufa Leo wana sema hivi
Bora tuitwe masikini wakati ni matajiri kuliko kuitwa tajiri wakati ni masikini ,Hiyo ya kupenda kuitwa Matajiri wakati ni masikini tumewaachieni nyinyi wakenya kinacho wasumbua hao mabeberu ni wivu na chuki juzi walisema uchumi unakufa Leo wana sema hivi
Yeah we want their stinking cash, they have been robbing us for so long you know, we just can't deny our own money.Lol....REDEEMER ati what?you wanted special borrowing kutoka kwa mabeberu?hivi bongo mbona mnakuanga akili finyu hivi na kuchanganyikiwa mingi...si nyie hushinda mkituimbia humu vile kenya tumeolewa na wazungu,sasa nyie mmeamua kususpend dignity ndio mpewe loan.there is NO DIGNITY in suspending your worth in order to be granted a favour,bure kabisa
Yaani ndio hivyo kwa kifupi.Nakuunga mkono hapo dawa ni Magufuli kukanusha kuwa bado hatujafikia UCHUMI WA KATI atakuwa kawa weza kisaikolojia hao mabeberu
Kenya tuli rebase uchumi wa 2013 na Uchumi ukaongezeka na 25%, mwaka mmoja baadae 2014 Tz pia mkafanya hivyo na uchumi wenu ukaongezeka by 32%!!!....We were there even before you, we didn't rebase our figures because we want special borrowing sympathy kutoka kwa mabeberu na ndio maana tunafanya Makubwa yatayowachukua miaka 100 kufanya.
Twende kwenye mtanange kule, acha kukimbilia huku kwenye petty issueKenya tuli rebase uchumi wa 2013 na Uchumi ukaongezeka na 25%, mwaka mmoja baadae 2014 Tz pia mkafanya hivyo na uchumi wenu ukaongezeka by 32%!!!....
DECEMBER 19, 2014 / 2:19 PM / 5 YEARS AGO
Tanzania’s GDP expands by 32 pct after rebasing - officials
Tena mwaka huu 2019, mkageuza base year to 2015 wakati huku Kenya bado tunatumia base year ya 2011
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.af.reuters.com