Wake wanaoamini data za Benki ya Dunia

Wake wanaoamini data za Benki ya Dunia

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
2,128
Reaction score
2,867
Hawa mabeberu sio wa kuamini sana takwimu zao wanazitumia kwa kuharibu uchumi wa nchi fulani au kwa kuutangaza uchumi wa nchi fulani ,haiwezekani uchumi ambao uliokuwa hatalini unaokuwa kwa kusuasua halafu 2020 ufikie kuwa uchumi wa kati

Screenshot_20190819-122636.jpeg
 
We were there even before you, we didn't rebase our figures because we want special borrowing sympathy kutoka kwa mabeberu na ndio maana tunafanya Makubwa yatayowachukua miaka 100 kufanya.
Sisi hatutaki Waafrika kutukanwa eti sie ni masikini ilhali kuna Nchi kama Tanzania wanapenda umasikini hadi world bank wameamua kuwatoa huko maana mkiwachiwa mtakaa huko milele. Wapenda umasikini mnatuchosha
 
Lol....REDEEMER ati what?you wanted special borrowing kutoka kwa mabeberu?hivi bongo mbona mnakuanga akili finyu hivi na kuchanganyikiwa mingi...si nyie hushinda mkituimbia humu vile kenya tumeolewa na wazungu,sasa nyie mmeamua kususpend dignity ndio mpewe loan.there is NO DIGNITY in suspending your worth in order to be granted a favour,bure kabisa
 
HAWA MABEBERU SIO WA KUAMINI SANA TAKWIMU ZAO WANAZITUMIA KWA KUHARIBU UCHUMI WA NCHI FULANI AU KWA KUUTANGAZA UCHUMI WA NCHI FULANI ,HAIWEZEKANI UCHUMI AMBAO ULIOKUA HATALINI UNAOKUA KWA KUSUASUA HALAFU 2020 UFIKIE KUA UCHUMI WA KATI View attachment 1185133
Mm niliwadharau walipo sema Kenya ni middle income c. Wakati watu wanaishi kwa slum
 
Inaonesha hawana uhakika na data zao siku sio nyingi walitoa angalizo kuhusu uchumi wa TZ na wote mulishabikia mara hii wanasema 2020 utafikia uchumi wa kati walikua wanajalibu kuzui upepo kwa mwamvuli au?
 
We were there even before you, we didn't rebase our figures because we want special borrowing sympathy kutoka kwa mabeberu na ndio maana tunafanya Makubwa yatayowachukua miaka 100 kufanya.
Nakuunga mkono hapo dawa ni Magufuli kukanusha kuwa bado hatujafikia UCHUMI WA KATI atakuwa kawa weza kisaikolojia hao mabeberu
 
Sisi hatutaki Waafrika kutukanwa eti sie ni masikini ilhali kuna Nchi kama Tanzania wanapenda umasikini hadi world bank wameamua kuwatoa huko maana mkiwachiwa mtakaa huko milele. Wapenda umasikini mnatuchosha
Tatizo wewe ni tony ungekuwa Tony ungekuwa na akili lakini sasa bure kabisa sasa logic ya kuitwa tajiri wakati ni masikini au kuitwa masikini wakati ni tajiri
 
Lol....REDEEMER ati what?you wanted special borrowing kutoka kwa mabeberu?hivi bongo mbona mnakuanga akili finyu hivi na kuchanganyikiwa mingi...si nyie hushinda mkituimbia humu vile kenya tumeolewa na wazungu,sasa nyie mmeamua kususpend dignity ndio mpewe loan.there is NO DIGNITY in suspending your worth in order to be granted a favour,bure kabisa
Wao mbona wanatuibia madini yetu kisheria acha na sisi tupate hela kwa unafuu nahisi KENYA IPO NYUMA YA HII AJENDA ILI TZ ITOLEWE KUNDI LA LOW INCOME KWA SABABU ya EPA ,maana wakenya wanadhani tz imekataa EPA kwa sababu ya kuwa low income
 
Sasa wewe Mbongo unalialia na hii ni habari njema? REDEEMER. joto la jiwe Geza Ulole
Bora tuitwe masikini wakati ni matajiri kuliko kuitwa tajiri wakati ni masikini ,Hiyo ya kupenda kuitwa Matajiri wakati ni masikini tumewaachieni nyinyi wakenya kinacho wasumbua hao mabeberu ni wivu na chuki juzi walisema uchumi unakufa Leo wana sema hivi
 
Sasa wewe Mbongo unalialia na hii ni habari njema? REDEEMER. joto la jiwe Geza Ulole
Bora tuitwe masikini wakati ni matajiri kuliko kuitwa tajiri wakati ni masikini ,Hiyo ya kupenda kuitwa Matajiri wakati ni masikini tumewaachieni nyinyi wakenya kinacho wasumbua hao mabeberu ni wivu na chuki juzi walisema uchumi unakufa Leo wana sema hivi
 
Lol....REDEEMER ati what?you wanted special borrowing kutoka kwa mabeberu?hivi bongo mbona mnakuanga akili finyu hivi na kuchanganyikiwa mingi...si nyie hushinda mkituimbia humu vile kenya tumeolewa na wazungu,sasa nyie mmeamua kususpend dignity ndio mpewe loan.there is NO DIGNITY in suspending your worth in order to be granted a favour,bure kabisa
Yeah we want their stinking cash, they have been robbing us for so long you know, we just can't deny our own money.
 
We were there even before you, we didn't rebase our figures because we want special borrowing sympathy kutoka kwa mabeberu na ndio maana tunafanya Makubwa yatayowachukua miaka 100 kufanya.
Kenya tuli rebase uchumi wa 2013 na Uchumi ukaongezeka na 25%, mwaka mmoja baadae 2014 Tz pia mkafanya hivyo na uchumi wenu ukaongezeka by 32%!!!....

DECEMBER 19, 2014 / 2:19 PM / 5 YEARS AGO
Tanzania’s GDP expands by 32 pct after rebasing - officials

Tena mwaka huu 2019, mkageuza base year to 2015 wakati huku Kenya bado tunatumia base year ya 2011

Twende kwenye mtanange kule, acha kukimbilia huku kwenye petty issue
 
Back
Top Bottom