Wake za watu mna nini?

Wake za watu mna nini?

Katika uhuni wote niliopitia lakini mke wa mtu hapana! Vijana semeni na roho zenu, wake za watu msiwape nafasi ya kuwasumbua wala kutoka nao kimahusiano. Kwanza sio vizuri lakini pia unajitengenezea kitu kibaya sana.
 
Hayo ni majaribu ya shetani anataka uliwe, siku ukiteleza tu basi jitahidi uwe unatembea na hizi zana🤣👇

images (68).jpeg
images (72).jpeg
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia.
We kula tu, siku ukioa, na wako ataliwa na vijana wa kipindi hicho,
Kutesa kwa zamu papaaa
 
Back
Top Bottom