Wake za watu mna nini?

Wake za watu mna nini?

Mambo mengine ni vizuri tu yakabaki kuwa siri yako
Hukupelekwa jando nini?
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia.

Unakuta mmama mtu mzima anamtongoza kijana bila hata ya hofu na aibu, mama kimtazamo anajistiri. Unaweza ukasema huyu ndo mke sasa. Mama ana watoto watatu wanne lakini kijana ana miaka 20-25 ni makamu ya mtoto wake wa kumzaa lakini

Karibuni.
Kula futa dogo acha uoga
 
Wake za watu kutongoza vijana ni kawaida sanaa nakumbuka wakati niko mkoa flan kanda ya magharibi kikazi nilipata friend request ya dada mmoja mzuri sanaaa kwenye mtandao nikaaccept na sikutilia maanani then akaanza nichatishachatisha tukahama mpaka kubadilishana namba ikawa sasa ni whatsapp.

Tukajajikuta tumeanzisha mahusiano kumchimba ananambia ni mke wa mtu mumewe anafanya kazi moja ya sector inayoiingizia pesa nyingi serikali mkoa wa jirani na anapoishi so mume anakuwa home weekend tu siku zingine za kazi wiki nzima hayupo nkampanga akaja mkoa nilipo nkala tunda usiku kucha katka kumpeleleza kulkkon mpaka anitafute kwemye mtandao ilihali hatujuani akasema ilitokea tu akaona picha yangu yhen akaipenda akawa anaiangalia profile yangu kila siku kila saaa ndo akaona bora anitafute tu.

Wako vzur kiuchumi actually ila sasa nadhan upweke wa kuishi peke yake na watoto ndo shida may be pia jamaa hata akirid anapiga game ya heshima ambayo haimkuni haswaa bibie yawezekana ilichangia sikuwahi onana nae tena huyu bibie japo huwa tunawasiliana mara mojamoja sanaaa
 
Hata mimi kuna kabaamedi kamoja hapo Makuti bar kananiambia kana mume wake. Na kila siku kanalala geto na wenzake... Baadae nakuja kushtuka kuambiwa kumbe huyo mume wake anayemsemea ni mimi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaah
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia.

Unakuta mmama mtu mzima anamtongoza kijana bila hata ya hofu na aibu, mama kimtazamo anajistiri. Unaweza ukasema hu
On target already!
 
Ridhisheni wake zenu........

Wapeni mahaba na matunzo

Acheni kuchepuka hovyo hovyo in the name ya mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja... acheni visiranj vya hovyo(haswa mkishapata micheps)

La sivyo

Wake zenu

Watauza mechi tu
Hamna namna
 
Back
Top Bottom