Wake zenu wakienda gym kuweni makini, angalieni huyu

Huyu ni Trainer maarufu sana yuko South Africa. Anadai style yake ya squart inatengeneza shape

Wanawake wengi duniani wanafuatisha style za mazoezo wa shape nyash na hips

Yeye ni mfano tosha jinsi style zake za mazoezi zimemtengeneza shape

Anaitwa Nkululeko Dlamini au King of Squarts. Maarufu sana, kajizolea umaarufu kwa wake za watu na wanawake wengi ambao wanataka umbo kama lake.

Alianza hana take, squart zimemletea tako🤣
 
Duh ashakuwa kama mwanadada japo yuaingiza kipato ila mhhh
 
Back
Top Bottom