New beginning
Member
- May 10, 2024
- 95
- 203
Yaan huwezi mlinda mtu, kamweUnaona Sasa ilivyo ngumu kuzuia kuliwa yani Kuna wakati nikiona yanayoendelea unaona hata kulinda ni kazi Bure kwa Sasa ni kupambana kulea watoto kwa hela yote huku ukipata ka nafasi na we unajipa good time maisha yaendelee
Sasa unakuta wife Kila mwezi ana semina au overtime unalinda vipi!?