Wake zenu wakienda gym kuweni makini, angalieni huyu

Huyu ni Trainer maarufu sana yuko South Africa. Anadai style yake ya squart inatengeneza shape

Wanawake wengi duniani wanafuatisha style za mazoezo wa shape nyash na hips

Yeye ni mfano tosha jinsi style zake za mazoezi zimemtengeneza shape

Anaitwa Nkululeko Dlamini au King of Squarts. Maarufu sana, kajizolea umaarufu kwa wake za watu na wanawake wengi ambao wanataka umbo kama lake.

Alianza hana take, squart zimemletea tako🤣
Uongo kazaliwa hivyp squat hazikujazi tako hivyo
 
Nikudanganye ili iweje. Angalia historia yake Google

Yeye anadai tako baada ya squart, formula yake inatumika worldwide

Labda afanye plastic surgery mwanaume huwezi kuwa na kishundu vile
 
Hivyo anavyodai yeye ila ukweli haupo hivyo Human Anatomy haifanya kazi kwa madai ya mtu, Squat zinamsada kwenye kubusti makarios Yes ila not at that extent ni ratio ndogo saaaaaaana not as people think.

Hayo ni maumbile yake asili then squat ikafuata na katumia ilo kali kama Brand ila sio squat zimefanya hilo kali kuwa hivyo not that.
 
Ahahah
Ila dah jamaa ana roho ngumu sana kuwa na kishundu alafu anakiwamba hatari
 
Gym trainers siyo poa yaani.
Kwani amemvua nguo HAPO? Acha mke wangu akafanye mazoezi ya kujaza kishundu alafu humuoni km HUYO trainer ni Chakula cha Wahuni au hujamwangalia vizuri?
 
Hapo ni wanawake wawili wenye TUPU(NYUCHI) za aina mbili.
 
Back
Top Bottom