New beginning
Member
- May 10, 2024
- 95
- 203
Yaan huwezi mlinda mtu, kamweUnaona Sasa ilivyo ngumu kuzuia kuliwa yani Kuna wakati nikiona yanayoendelea unaona hata kulinda ni kazi Bure kwa Sasa ni kupambana kulea watoto kwa hela yote huku ukipata ka nafasi na we unajipa good time maisha yaendelee
Sasa unakuta wife Kila mwezi ana semina au overtime unalinda vipi!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa muonekano wa huyo trainer hata akae na mkeo mwezi hakuna kitu atamfanya.
Labda hofu atamtafutia mabwana.
Khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo King of squarts hana shida, yy mwenyewe si umeona ana kishundu [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mwanaume hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasa ulivyohitimisha! Nimeshangaa yaani manjonjo yote hayo hata skin tight haijatuna? Litakuwa li dada Mwajuma hilo!
Na huko wanakochukua hatua za haraka sana ndiko mashoga na mabasha walikojazanaHaya mambo utayakuta nchi za kiafrika na kizungu kidogo, nchi za kiislamu huwezi kukuta huu upumbavu, utachukuliwa hatua za haraka sana.
Usiongee vitu huna uhakikanavyo, tatizo wengi wenu mmekaririshwaNa huko wanakochukua hatua za haraka sana ndiko mashoga na mabasha walikojazana
πππKhaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa mkweli mkuu unaweza kuvua nguo ukamtegea makalio huyo mshkaji akakuacha hivihivi?Kwa muonekano wa huyo trainer hata akae na mkeo mwezi hakuna kitu atamfanya.
Labda hofu atamtafutia mabwana.