Wake zetu mbona hamjishughulishi tuwapo faragha kama enzi za uchumba?

ongea nae, ni mkeo tena ongea nae kwa mapenzi makubwa atajirekebisha mkuu, hata ukisema huku hawezi kujirekebisha mwambie, sema nae
 
tatizo za ndoa nyingi wanakosa mawasiliano .... wanaogopana ndiyo maana anashindwa hata kumwambie mkewe embu leo pinduk kipande hii au katikiamo... wengi wanafanya kibubu utafikiria hawakuwahi kuonana before
 
ongea nae, ni mkeo tena ongea nae kwa mapenzi makubwa atajirekebisha mkuu, hata ukisema huku hawezi kujirekebisha mwambie, sema nae
Muulize je kwa hawara yake anafanya kama kwa mkeweee?[emoji126]
 
Reactions: THT
Nyie wanaume wa hivyo mna matatizo sana huyo ni mama watoto wako ana mambo mengi ya kudili nayo watoto wanamwangaisha kutwa nzima,pengine hela unayoacha nyumbani ndogo anapasua kichwa kupanga bajeti,usiku unataka abenuke judo kama yupo china viuno sijui na upuuzi gani.loooh kama shida ni viuno nenda twangapepeta.kikubwa mashine anaitunza anakupa bila choyo na unakojoa.huko michepukoni hakuna hata cha maana mnachokipataga huko basi tuu
 
tatizo za ndoa nyingi wanakosa mawasiliano .... wanaogopana ndiyo maana anashindwa hata kumwambie mkewe embu leo pinduk kipande hii au katikiamo... wengi wanafanya kibubu utafikiria hawakuwahi kuonana before
umenena vyema sana [HASHTAG]#miss[/HASHTAG] chagga
 
hebu tenga sufuria lako jikoni afu weka maji tia mchele wako ikiesha hapo tulia litizame sufuria lako likichemka bila kuligeuza pindua.. afu subiri uone utakachopata....
bas ndo hivohivo kwa mukeo... maana kwa hawara unajituma ili usikosee..
Tunapikia race kukaaaa

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Kaoe pangaboi mkuu [emoji2]
 
wakati wa uchumba tulikuwa tunapiga kampeni nishapata uraisi kampeni za nini tena?

watoto wawili anachoka kulea jamani na usiku tena akatike loh mbona hivyo.. embu anza wewe kukatika mkuu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
malizia zaidi ya gharama na wasiwasi kila kukicha
 
Tukianza mechi na ma-hausigeli FULL KUNUNA, tena walivyo na mashine mnato ndo tutalowea humo. Jiongezeni nyie wamama. Kuolewa sio kujisahau namna hiyo.
 
tayari mwanamke huyo ashajinenepesha, hivyo mauno hakuna tena, amekuwa msukule anaganda tu wewe jifiligishe kwake umalize haja zako basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…