Wake zetu mbona hamjishughulishi tuwapo faragha kama enzi za uchumba?

Hahahhh mzee wa kanisa mbona una tamaa hivo
 
wakati wa uchumba tulikuwa tunapiga kampeni nishapata uraisi kampeni za nini tena?

watoto wawili anachoka kulea jamani na usiku tena akatike loh mbona hivyo.. embu anza wewe kukatika mkuu
[emoji28][emoji28]aanze yeye na ata shanga wanaume siku hizi wanavaa
 
mnalala kama magogo tukianza kunyemelea tu-hausigeli mnanuna. Jitumeni Ndoa kitu gani?? mkizubaa tutazaa na mahausigeli mamaeee tushachokaaaa.
cc. Mfalme Mswaki

ha ha haaa,povuuu
 
Kiwango kimeshuka hiyo ni kawaida ya michezo yote hivyo michezo ya kikubwa au inavyoitwa michezo ya kitandani ni kama michezo mingine ndio maana utaskia mi bao zangu 3-4 nk kama mpira tu.
 
Hata wewe unaweza kukata hayo mauno si lazima akate mkeo
 
Mkeo ana kazi nyingi sana zaidi ya kukata mauno kakwo,awali mlikua wawili sasa hivi mpo wa 4 unatarajia maisha ya wawili yaendelee kuwepo, mgongo na kiuno chake unabeba mzigo mkubwa wa malez kuliko shahawa zako kama vipi we jikatie viuno vyako wakati wa tendo kujiridhisha nafs yako
 
Kumbe wote wamefanana baada ya kuolewa na kuzaa
 
Tukianza mechi na ma-hausigeli FULL KUNUNA, tena walivyo na mashine mnato ndo tutalowea humo. Jiongezeni nyie wamama. Kuolewa sio kujisahau namna hiyo.
Si uwe wazi Mkuu?

Kuwa kuna hg unamnyemelea hivyo unatafuta sababu?????

Kama yeye hakati kwa nini wewe usikate hicho kiuno? Tena itasaidia kumkuna kotekote na kifikia mshindo vizuri....
mnalala kama magogo tukianza kunyemelea tu-hausigeli mnanuna. Jitumeni Ndoa kitu gani?? mkizubaa tutazaa na mahausigeli mamaeee tushachokaaaa.
cc. Mfalme Mswaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…