Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia.

Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana.

Kama ilivyo kwa wanaume akifika Dom au Dar au Mwanza, anatafuta chaka analolijua au part-time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili.

Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad.

Usiku mwema, make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia.
 
Msiwege mnaoa
 
Siku za mwanadamu hapa duniani Ni chache acha kujipa wasiwasi kwenye Kila kitu mkuu. Furahia mda wako mengine 'yaachie universal law"
 
Jisemee mwenyewe kwa mke wako mkuu, usiji mwambafy kuongelea wake wa watu ambao hata huwajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…