Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Sio wote mke wangu akiwa safarini kila muda ananipigia Mimi simu mpaka afike home kwao anataka niongee na mama mkwe adi kero kiufupi ni akili ya mwanamke tu

Nawaambia kila siku oa mwanamke mama wa nyumbani, mshamba na asiye na kazi otherwise utagongewa mpaka geti wanamfuata
 
Unapigiwa hiyo Akili ya kazi, mkeo analika Tena Freshi sana.
 
Hata mkeo anapigwa tu, ukitaka Kujua Dau la mke Jambo Dogo Sana Fanya kama umekosea muamala, ukitaka kuelewa zaidi njooo in box nikuelekeze, au kama unabisha nipe namba ya mke....nakupigia Mda huo yupo Geto analika.
Achana na mannerisms yako au status yako. Bali kwa mwandiko wako tu utakuwa na bahati "mke wangu" akijibu message yako, let alone akikuangalia mara mbili usoni.
 
Hata mkeo anapigwa tu, ukitaka Kujua Dau la mke Jambo Dogo Sana Fanya kama umekosea muamala, ukitaka kuelewa zaidi njooo in box nikuelekeze, au kama unabisha nipe namba ya mke....nakupigia Mda huo yupo Geto analika.
Wee jamaa punguza speed unatupandisha visukari hapa[emoji1][emoji1]
 
Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia.

Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana.

Kama ilivyo kwa wanaume akifika Dom au Dar au Mwanza, anatafuta chaka analolijua au part-time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili.

Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad.

Usiku mwema, make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia.
Ndege wafananao huruka pamoja. Wazinzi wakikutana lazima wakutanishe vikojoleo
 
Back
Top Bottom