technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Sio wote mke wangu akiwa safarini kila muda ananipigia Mimi simu mpaka afike home kwao anataka niongee na mama mkwe adi kero kiufupi ni akili ya mwanamke tu
Nawaambia kila siku oa mwanamke mama wa nyumbani, mshamba na asiye na kazi otherwise utagongewa mpaka geti wanamfuata
Nawaambia kila siku oa mwanamke mama wa nyumbani, mshamba na asiye na kazi otherwise utagongewa mpaka geti wanamfuata