Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Jidanganye

Kwenye Uzi wa kula tunda kimasihara mule wanawake wengi wanagongwa siku hiyo hiyo:-
uhuru kwa mwanamke una madhara makubwa kuliko faida
Kule Saudi Arabia na Afghanistan mwanamke hatakiwi kusafiri mwenyewe bila kaka,wala mume,then munawaona wanakandamiza haki........tukubali tukatae uislam upo mbele ya muda Kwa mambo mengi sana ambayo wapumbavu tunayalalamikia kwa ujinga wet

Hii hali mbaya inasababishwa na wanawake au wanaume nani mwenye kosa??
Wanaume wasiojitambua!
Hii hali mbaya inasababishwa na wanawake au wanaume nani mwenye kosa??
 
Ndoa ni mpango wa MUNGU,ukiona umeoa au kuolewa na bado unacheat
huo ni ujinga.
Excuse isiwe pesa au matunzo,ile ahadi mlipeana iheshimiwe.
Ndoa gani sasa mtu anacheat hovyo!??
Kama hujiskii kuoa au kuolewa bora uache.
Wengi hawaoani kwa kuheshimu huo mpango wa Mungu unaousema. Wengi wanaoana kwa agenda zao nyeusi ambazo zipo kinyume kabisa na kusudi la Mungu
 
Uislam Mwema sana.

Miaka 1,400 nyuma umekataza mwanamke kusafiri peke yake, haturuhusiwi kusafiri bila kufuatana na mume au mtu wa karibu tuliyeharamishiwa kuolewa nae (maharam).

Ukimwona mwanamke wa Kiislam anasafiri peke yake ujuwe huyo hafati Uislam.
Uislamu haufai kitu katika kuzizuia tamaa za mwili kwa hiyo ni halali yenu kutumia 'mabavu'
 
Naona kuna haja ya serikali kufanya utafiti upya! Vilio vya wanaume vinaongezeka!
Naona Rate ya Wanaume wanaopata Hypertensive dieases inazidi kuongezeka kuliko wanawake!
Hakuna kitu kibaya kwa ndoa za nyakati hizi mwanamme unawaza saa zote juu ya mkeo kama anafanywa!
Serikali haina cha kufanya hapo Mkuu. Haya ni matokeo ya UKAIDI wa Mwanadamu dhidi ya muumba wake. Nasemaje unachokiona sasa ni trailer tu,picha lenyewe bado!
 
Ogopa mtu mwenye hofu ya Mungu hii ni next level na ni wachache sana mtu anaweza kua na dini vzur tu lakn akakosa hofu ya Mungu na mtu anaweza akawa haijui dini vzur lkn hofu ya Mungu ipo ndan yakeu

Fundisho la Kiislam kuhusu mwanamke kusafiri ndiyo kama nilivyolieleza.

Hayo yako ni ujinga uliojawa nao. Dada'ko yupi kishabakwa kwa nguvu na Mwarabu?
Hilo unaloita fundisho ndio mabavu' yenyewe hayo. Masheria makali yasiyo na kichwa wala miguu yote ni kwa sababu hakuna dini inayoweza kuzizuia tamaa za mwili. Mara oo asindikizwe sijui na kaka,sijui na nani. Failed!
 
Wewe wawache tu dada'ko na mama'ko wasafiri peke yao, vijana njiani huko wanakwambia "ni kama kusukuma mlevi" Awe asiwe Muislam.
 
Wewe wawache tu dada'ko na mama'ko wasafiri peke yao, vijana njiani huko wanakwambia "ni kama kusukuma mlevi" Awe asiwe Muislam.
Hayo masheria yenu huko huko. Endeleeni kutumia 'mabavu' kupambana na tamaa za mwili. Mke wangu Mimi yupo huru kwenda popote. Ninamwamini sana(zingatia neno sana). Na sababu ya kumwamini ninayo!. Na siwezi kuacha kumwamini eti kwa sababu ya maneno yako machafu uliyomezeshwa na dini yako!
 
Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia.

Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana.

Kama ilivyo kwa wanaume akifika Dom au Dar au Mwanza, anatafuta chaka analolijua au part-time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili.

Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad.

Usiku mwema, make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia.
Ni huzuni kuu
 
Ogopa mtu mwenye hofu ya Mungu hii ni next level na ni wachache sana mtu anaweza kua na dini vzur tu lakn akakosa hofu ya Mungu na mtu anaweza akawa haijui dini vzur lkn hofu ya Mungu ipo ndan yake
Kwani hofu ya mungu ni nini? Na inafanya kazi gani kwa mwanamke mzinzi? Kwani ukimla mke wa mchungaji mungu atamfanya nini? Una uhakika gani kama huyo mungu unayemuogopa kama yupo? Au bosheni tuu?

Kuna jamii hazimjui huyo mungu wenu na wanawake wao wamenyooka, hawafanyi ujinga.

Acheni Imani za kijinga za kujifanya mnamuigopa mungu. Fuata jadi zenye Mila na desturi njema ambazo zinamafundisho Bora kwa jamii.

Asilimia kubwa ya wanawake wanaolika ni watu wa kwenda kanisani/msikitini na kujifanya watu wa mungu.
 
Soma vzur tena unamjua mtu mwenye hofu ya Mungu ww mtu akishakua hivyo yale yote yaliyokatazwa ikiwemo uzinzi anaogopa kuyafanya akihofia kumkasirisha Mungu wake na nd mana nikakwambia mtu anaweza akawa na dini vizuri na din anaijua vizur tu lkn akawa hana hofu ya Mungu yaan yy kufanya madhambi kwake n kawaida na kanisan anaenda na msikitini nd yupo mbele kabsa
 
Kama mwenye hofu ya mungu anaweza fanya uzinzi na dhambi zingine basi hiyo Hofu Haina maana na haisaidii.
 
Kwenye maandiko yepi Kuna hayo maagizo?
Mfano wakorintho 8:9-13 kwenye biblia yapo wazi kabisa yamekataza unywaji WA pombe kwenye ukristo-----ilhali wapo wapumbavu wanaruhusu pombe kwenye ukristo,wakiita DIVAI
Yes ukiangalia hapo utaona uislam upo mbele ya muda,Kila kitu kipo kwenye maandiko,.......
Injili ya Yohane (2:1-11) inatueleza muujiza wa kwanza Yesu aliufanya harusini Kana - alibadili maji kuwa divai. Je, alikuwa mpumbavu?

1 Timotheo 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.

Mhubiri 9:7
Wewe enenda zako, ule chakula chako kwa furaha,
unywe mvinyo yako kwa moyo wa kuchangamka,
kwa kuwa Mungu amekwisha kuzikubali kazi zako.

Zaburi 104:15
na divai, imfurahishe mtu moyo wake;
aung'aze uso wake kwa mafuta,
na mkate umburudishe mtu moyo wake.

Hebu kunyweni mvinyo bhana. Kila alichokiumba Mungu ni chema (Mwanzo 1:31)
 
Haya maneno ya Quran?
Sura ya ngapi?
Aya ya ngapi?😃😅🤣
Reference ya uislam ni QURAN
Mfano ukisoma Mwanzo 4:19,16:1-4,29:18-29,......biblia ipo wazi kuhusu kuoa wake wengi,ila WAPUMBAVU wachache kwenye ukristo,hawaamini kwenye kuoa mke zaidi ya mmoja
Ukiangalia hapo,unaona Yes!,uislam upo mbele ya muda
Mathayo 19:4-6
Akajibu, akawaambia, " Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema, 'Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja'? Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.

Ukisoma vizuri hapo Yesu ametumia umoja: mwanaume mmoja anaungana na mwanamke mmoja, nao wawili hawa wanakuwa mwili mmoja.

Usitumie Biblia kuhalalisha uovu wako.
 
Uwe na pesa, utasalitiwa.
Usiwe na pesa utasalitiwa.

Upige show ya kibabe, utasalitiwa.
Upige show ya kizembe, utasalitiwa.

Uwe maarufu, utasalitiwa.
Usiwe maarufu, utasalitiwa.

Wanawake huwasaliti waume wao bila sababu.
Hivyo, kama unaweza kuishi bila kuoa ni bora ukafanya hivyo.

1 Korontho 7:1,8
Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. Lakini ninawaambia wale wasiooa bado, na wajane: ni heri wakae kama mimi nilivyo.

NB: Ukiamua kutokuoa, usifanye dhambi ya ngono. Ishi useja.
 
Back
Top Bottom