Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hofu inatokana na udhaifu ...ulimpata.mwanamke kwa kumshawishi kwa kuhonga na mali sio kwamba alikuwa na hisia na weweUoga wenu tu mzee, unahisi unachapiwa kila muda. Huyo mke ni kicheche kiasi gani?? Na hii ndio sababu wanawake wanawaendesha saana maana wanaona jinsi mlivyo na hofu na mashaka juu yao.
Ondoa hiyo akili ya kuchapiwa chapiwa kila saa.
Wenye pesa lazima watamla tu