Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hii inaitwaje kitaalamu? 😹😹Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaitwaje kitaalamu? 😹😹Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad .
Alikuwa mzuri?
SanaAlikuwa mzuri?
Thubutu labda hao unaowajua ww sio kila mwanamke aheshimu mwili wake bna.Kwa Karne hii, mwanamke pesa yako. Wanawake wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa.
mwanamke yoyote analika chamsingi ufike tu Dau, au kwa msemo mwingine mwanamke ana Price Tag, ukifika Dau lake analika
Hofu hii ni kwa wale waliooa wake wasio na hofu ya Mungu tu. Mke ambaye nafsi yake haijatakaswa kwa damu na Kweli ya Kristo sio wa kumwamini hata asipokuwa safarini.Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana
Kama ilivyo kwa wanaume akifika dom au dar au mwanza anatafuta chaka analolijua au part time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili .
Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad .
Usiku mwema , make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia
🙌🙌😂😂😂yake
Ndugu uliokutana nao ww nd wanalika na mtu yyt na sio kila mwanamke analika kirahis namna iyo kuna wanawake wanajua thaman zao unapozungumzia usiweke ujumla ww huwajui wanawake wa dunia nzima walivyoKwa Karne hii, mwanamke pesa yako. Wanawake wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa.
mwanamke yoyote analika chamsingi ufike tu Dau, au kwa msemo mwingine mwanamke ana Price Tag, ukifika Dau lake analika
JidanganyeHofu hii ni kwa wale waliooa wake wasio na hofu ya Mungu tu. Mke ambaye nafsi yake haijatakaswa kwa damu na Kweli ya Kristo sio wa kumwamini hata asipokuwa safarini.
🤣🤣🤣 Mbona kama huna akili mkuu umesema ametoka familia ya kitajiri na mmewe tajiri ghafla anakuomba 2000$ ameona ni juu kaamua kushusha hadi laki moja asee huyo dem hana hela yoyote ile wala hajatokea kwenye pesa we hujui wenye pesa kuendesha gari zuri isikuzuzue maana sio kigezo hichoMwanamke na pesa aisee 🤣🤣🤣
Kuna Mwanamke fulani pisi ta haja hasaa nilichukua namba yake kwa ajili ya mambo ya mafunzo tu.
Kutokana na weledi na uelewa wangu wa mambo tukahamia kwenye mazungumzo ya kikubwa.
Huku na kule akanifungukia mambo mengi sana, na kwa uchunguzi wangu binafsi ameolewa kwenye familia yenye ukwasi na alikotoka nako kuna ukwasi wa kutosha. Maana usafiri wake sio haba hata muonekano wake tu ni wa thamani sana mpaka manukato na vito vyote ni vya thamani.
Khee kuna siku tunachati akaniambia yeye bila dola 2000 hatoi mzigo. Tukawa tunachati tu kuna siku akataka nimpe laki moja ili ani bless nikamwambia aisee wewe ni Mke wa mtu halafu hiyo laki hata kama ninayo ningekupa tu au ningewapa watoto wenye uhitaji.
Kaja akaniambia nitafute Hotel yenye hadhi nilipie ili akanibless.
Msimamo wangu umekuwa pale pale namuonea huruma Mwanaume mwenzangu na siwezi kufanya hilo jambo.
Kwa kweli kuna mmomonyoko na shida sana kwenye ndoa. Sijui hili janga wana ndoa watakabiliana nalo vipi. ?
Sina interest ya kula Mke wa mtu, halafu ninachokiandika nina uhakika nacho. Sijui yule Mwanamke huwa anafikiriaga nini ?🤣🤣🤣 Mbona kama huna akili mkuu umesema ametoka familia ya kitajiri na mmewe tajiri ghafla anakuomba 2000$ ameona ni juu kaamua kushusha hadi laki moja asee huyo dem hana hela yoyote ile wala hajatokea kwenye pesa we hujui wenye pesa kuendesha gari zuri isikuzuzue maana sio kigezo hicho
Ogopa mtu mwenye hofu ya Mungu hii ni next level na ni wachache sana mtu anaweza kua na dini vzur tu lakn akakosa hofu ya Mungu na mtu anaweza akawa haijui dini vzur lkn hofu ya Mungu ipo ndan yakeJidanganye
Baltazar wapo wengi [emoji23][emoji23][emoji23]Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana
Kama ilivyo kwa wanaume akifika dom au dar au mwanza anatafuta chaka analolijua au part time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili .
Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad .
Usiku mwema , make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia
Kwani unajua mkuu? Hayo mambo hawafanyi peupe [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kifupi ni kwamba kama una akili timamu huwezi kuishi na mke mgawa uroda kwa mwingine, huo ni umalaya ni bora uachane naye haraka yasije yakatokea madhara waseme ni wivu wa kimapenzi. Fukuzilia mbali akafanye umalaya wake kwa uhuru huko kwao
Umejiweka wazi mno mkuuHuu ni ukweli mchungu. Nakumbuka siku moja nipo zangu safarini kuelekea Tanga, kwenye kiti cha jirani alikaa bidada aliyeonekana kama mke wa mtu, cha ajabu tulipopiga stori mbili tatu akaniambia yupo single.
Mpaka tunafika Tanga, dada alishaingia kwenye anga zangu. Kwanza alienda home kwa wazazi wake, kesho yake akaniletea mbususu. Mchezo ulikuwa hivyo mpaka ninamaliza shughuli zangu Tanga.
Baada ya pake, mchezo uliendelea ila sasa mji mwingine maana yeye aliniambia anaishi mwanza. Nikawa nikifika Mwanza, nina uhakika wa mbususu, na akija Dar pia lazima aniletee mzigo.
Sema baadae nikaanza kujiuliza, kwanini mwanamke yule anipe mbususu kila nikitaka bila masharti na haonekani mwenye njaa? Ikabidi ni mbane, akaniambia ameolewa na mwarabu anaishi naye Mwanza.
Siku hiyo ilikuwa mwisho kuchakata ile ngozi. Japo alidai mume wake kila saa yupo bize na biashara kiasi cha kumsahau na hisia zake lakini nilikataa huo upuuzi. Nikampiga chini mazima.
Tulikwambia huyo Demu sio wewe ukasema tusikuingilie mapenzi ni ya wawili.Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana
Kama ilivyo kwa wanaume akifika dom au dar au mwanza anatafuta chaka analolijua au part time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili .
Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad .
Usiku mwema , make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia
Unakuta mke ndiye anayelipa Ada za watoto na bills.......unakuwa mpole tuKwa kifupi ni kwamba kama una akili timamu huwezi kuishi na mke mgawa uroda kwa mwingine, huo ni umalaya ni bora uachane naye haraka yasije yakatokea madhara waseme ni wivu wa kimapenzi. Fukuzilia mbali akafanye umalaya wake kwa uhuru huko kwao
Alikuwa anakudanganya huyo ni sex worker mara mke wa mwarabu mara yuko bize. Huyo hata mbeya ukimtaka atakufata ukisema uko kigoma pia utamkuta😅😅😅😅Huu ni ukweli mchungu. Nakumbuka siku moja nipo zangu safarini kuelekea Tanga, kwenye kiti cha jirani alikaa bidada aliyeonekana kama mke wa mtu, cha ajabu tulipopiga stori mbili tatu akaniambia yupo single.