Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Si nilisema mimi ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si nilisema mimi ππππππ
Kwenye Uzi wa kula tunda kimasihara mule wanawake wengi wanagongwa siku hiyo hiyo:-Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana
Kama ilivyo kwa wanaume akifika dom au dar au mwanza anatafuta chaka analolijua au part time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili .
Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad .
Usiku mwema , make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia
Wewe ni bingwa wa kula wake za watu?Na wataliwa sn, tutawala sn tu, mtu umemuoa tayari huko alipopita kabla yako kashadinywa na kila dick. Sasa ww unajidanganya eti tumeahidi mbele ya kadamnasi sisi ni kufa na kuzikanaππ.
Haipo hiyo fimbo watachapwa sn mpaka zichakae hutaki basi
Lakini mkuu na wewe umemcheat sana Tasha st. Patrick ....mpaka kusababisha familia kutokuelewanaππUKITAKA KUJUA HILI, FUATILIA WALIMU WAKIENDA KUSIMAMIA MITIHANI. KUANZIA DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, FORM TWO, FORM FOUR NA FORM SIX. HUWEZI AMINI YANAYOTOKEA HUKO. TUVUMILIANE TU NDIO MAISHA TULIYOCHAGUA HAYO.
Huu ni ukweli mchungu. Nakumbuka siku moja nipo zangu safarini kuelekea Tanga, kwenye kiti cha jirani alikaa bidada aliyeonekana kama mke wa mtu, cha ajabu tulipopiga stori mbili tatu akaniambia yupo single.Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana
Kama ilivyo kwa wanaume akifika dom au dar au mwanza anatafuta chaka analolijua au part time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili .
Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad .
Usiku mwema , make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia
Wale wa Engonga walikua wanapigiwa maeneo hayo hayo, ofisini,safarini, nyumbani maana ndiko wanakokua huru hukoMnaogopa sana, hao Ke wao wanawaza ngono muda wote??
Kazini wapigwe pipe ofisini, safarini wapigwe pipe, nyumbani na ww mume umpige pipe hiyo nyapu au n nini?
Asilimia kubwa wanaliwa sana usitake kukataa na ushahidi upoJisemee mwenyewe kwa mke wako mkuu, usiji mwambafy kuongelea wake wa watu ambao hata huwajui.
Kwa nini ndugu yangu?Unajua hi comment yako imenistua sana an.
Alikuwa mzuri?Huu ni ukweli mchungu. Nakumbuka siku moja nipo zangu safarini kuelekea Tanga, kwenye kiti cha jirani alikaa bidada aliyeonekana kama mke wa mtu, cha ajabu tulipopiga stori mbili tatu akaniambia yupo single.
Mpaka tunafika Tanga, dada alishaingia kwenye anga zangu. Kwanza alienda home kwa wazazi wake, kesho yake akaniletea mbususu. Mchezo ulikuwa hivyo mpaka ninamaliza shughuli zangu Tanga.
Baada ya pake, mchezo uliendelea ila sasa mji mwingine maana yeye aliniambia anaishi mwanza. Nikawa nikifika Mwanza, nina uhakika wa mbususu, na akija Dar pia lazima aniletee mzigo.
Sema baadae nikaanza kujiuliza, kwanini mwanamke yule anipe mbususu kila nikitaka bila masharti na haonekani mwenye njaa? Ikabidi ni mbane, akaniambia ameolewa na mwarabu anaishi naye Mwanza.
Siku hiyo ilikuwa mwisho kuchakata ile ngozi. Japo alidai mume wake kila saa yupo bize na biashara kiasi cha kumsahau na hisia zake lakini nilikataa huo upuuzi. Nikampiga chini mazima.
Yaani kitu ulichokiongea ni cha kuanzishia mada kabisa...Kwa nini ndugu yangu?