Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Hii nakubali.
Mwezi uliopita mshkaji wangu kala mke wa mchungaji kwenye kongamano Mwanza. Mama mchungaji katokea Singida, wamejuana na jamaa siku hiyohiyo na chupi akavuliwa siku hiyohiyo.

Huyo mchungaji sijui alikosea wapi akaoa mnyaturu.
 
Siyo lazima wasafiri, mbona humu humu mjini wanapinduka tu. Unadhani nani anataka kula wali maharage kila siku? Iko siku anataka kustua nyama choma na viazi vya kukaanga, na kuteremsha na ka beer.

Mpe/mfanyie au waachie wenzako wamfanyie.
 
Shimba ya Buyenze
Kuna kauli huwa anasema tena anakuwekea na picha
""Kuchapiwa hakuepukiki""
📌📌📌📌📌📌

0231115_49.jpg
 
Hii nakubali.
Mwezi uliopita mshkaji wangu kala mke wa mchungaji kwenye kongamano Mwanza. Mama mchungaji katokea Singida, wamejuana na jamaa siku hiyohiyo na chupi akavuliwa siku hiyohiyo.

Huyo mchungaji sijui alikosea wapi akaoa mnyaturu.
povu natoa, kila kabila wanaotafunwa kimasihara wapo. Sema siku hizi maadili ya ndoa yameporomoka, wake za watu wanatoa uroda kwa yeyote mwenye kumtimizia haja zake
 
Miiko na maadili ya ndoa sikt hizi hakuna. Mke wa mtu anatoa uroda kwa yeyote atakayemtamani hata kama hana pesa. Shamba boy anaweza kutunukiwa penzi na mke wa mtu na ikawa siri yao, ukute baba mwenye mke hapeleki moto vema, mke anajiongeza atimiziwe haja zake
 
Kwa kifupi ni kwamba kama una akili timamu huwezi kuishi na mke mgawa uroda kwa mwingine, huo ni umalaya ni bora uachane naye haraka yasije yakatokea madhara waseme ni wivu wa kimapenzi. Fukuzilia mbali akafanye umalaya wake kwa uhuru huko kwao
 
Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia

Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana

Kama ilivyo kwa wanaume akifika dom au dar au mwanza anatafuta chaka analolijua au part time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili .

Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad .

Usiku mwema , make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia
Umasafiri na malaya wewe...
 
Mmeanza tena kututisha...
 
Back
Top Bottom