Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mkuu wanaposema mtu fulani mchawi...Hata mkeo anapigwa tu, ukitaka Kujua Dau la mke Jambo Dogo Sana Fanya kama umekosea muamala, ukitaka kuelewa zaidi njooo in box nikuelekeze, au kama unabisha nipe namba ya mke....nakupigia Mda huo yupo Geto analika.
Usizani mtu analoga au anawanga....
Ila tu hata huu unaofanya wewe ni uchawi
Nb ndo mana una macho mekundu 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌