Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Naona kuna haja ya serikali kufanya utafiti upya! Vilio vya wanaume vinaongezeka!
Naona Rate ya Wanaume wanaopata Hypertensive dieases inazidi kuongezeka kuliko wanawake!
Hakuna kitu kibaya kwa ndoa za nyakati hizi mwanamme unawaza saa zote juu ya mkeo kama anafanywa!
 
Yaani kitu ulichokiongea ni cha kuanzishia mada kabisa...

Maana kuna kitu tunaweza kulaumu kumbe ni vitu ambavyo ni characteristics za kiumbe hai
Tuseme tu ukweli mwanadamu ama kiumbe chochote kinaishi siku zote kutafuta amani utulivu furaha nk.
Vyote afanyavyo binadamu hitimisho lake ni kupata furaha au raha .
Hata kusali, kuimba nyimbo kuzaa watoto kujenga nyumba nk yote afanyayo lengo lake kuu au faida ya jumla ni kupata furaha.

Kwa lugha rahisi dhani jumuishi ya maishi ni furaha na furaha zinapatika kwenye vyanzo vingi kulingana na mazingira yanayo mzunguka.

Sasa sisi kwa ubinafsi wetu na matamanio yetu na vionjo vyetu hatupo tayari kuona fulani anapata kile kinachompa furaha ,l
Yote ni ujumla wa ubinafsi wetu wa kupata mimi mwenzangu akose!
 
Daaaah sasa mkuu ishu inakuja je upo tayari uruhusu furaha ya mwenzako ambayo kwako wewe ni karaha...?

Kama tukisema tuache kila mtu afanye anachofanya ili apate furaha unazani kuna maana ya maisha hapo...?

Nimefikilia sana hiki kitu hata mimi napenda sana kufanya hivo vitu na vinanipa furaha mno japo najua akija kufanya mwenzangu taumia lakini kwa upande wake ile ndio furaha yake...
Suruhisho ya hayo yote nini mkuu...
 
Suluhisho kwangu mimi naona ni kujizoeza kutokuwa na ubinafsi na kujipendelea, hii si kwa mambo ya mahusiano tu bali katika mengi, hata uhai au uzima!
Mfano ikitokea janga lingasababisha kufa kwa wanyama binadamu huona kawaida sana, sana kitakacho muuma ni hasara kwake kwa kua alikua anatarajia kupata mahitaji yake kwa hao wanyama!
Sambamba na hilo ikitokea janga litakalo sababisha vifo kwa binadmu kilio kitasikika kwa kila mmoja !
Ubinafsi wa mwanadamu huona yeye pekee ndie ana haki ya kuishi haki ya kupata na si kinginecho.
 
Hata mtume aliposema tunywe mikojo ya ngamia pia alikuwa mbele ya muda.

Hata alipokuwa akimnyonya mate mjukuu wake pia alikuwa mbele ya muda.
Kwenye maandiko yepi Kuna hayo maagizo?
Mfano wakorintho 8:9-13 kwenye biblia yapo wazi kabisa yamekataza unywaji WA pombe kwenye ukristo-----ilhali wapo wapumbavu wanaruhusu pombe kwenye ukristo,wakiita DIVAI
Yes ukiangalia hapo utaona uislam upo mbele ya muda,Kila kitu kipo kwenye maandiko,.......
 
Suluhisho kwangu mimi naona ni kujizoeza kutokuwa na ubinafsi na kujipendelea, hii si kwa mambo ya mahusiano tu bali katika mengi, hata uhai au uzima!
Mfano ikitokea janga lingasababisha kufa kwa wanyama binadamu huona kawaida sana, sana kitakacho muuma ni hasara kwake kwa kua alikua anatarajia kupata mahitaji yake kwa hao wanyama!
Sambamba na hilo ikitokea janga litakalo sababisha vifo kwa binadmu kilio kitasikika kwa kila mmoja !
Ubinafsi wa mwanadamu huona yeye pekee ndie ana haki ya kuishi haki ya kupata na si kinginecho.
Duuuh hiyo solution yako tunarudi kule kule kwa kujinyima uhuru....
 
Uchunguzi umeufanya wapi? Kwa sample gani? Umetumia control gani? Peer review kafanya nani? Umechapisha wapi?

Wabongo ni hodari sana wa kutoa namba msizoweza kuzitetea.
Nimefanya survey ya mtaani ninapoishi!
DNA test za watoto wa wanandoa!
Online confessions nyingi

Wewe usitake kubisha ila baki na unachoamini mpaka kikukute
 
Kwenye maandiko yepi Kuna hayo maagizo?
Mfano wakorintho 8:9-13 kwenye biblia yapo wazi kabisa yamekataza unywaji WA pombe kwenye ukristo-----ilhali wapo wapumbavu wanaruhusu pombe kwenye ukristo,wakiita DIVAI
Yes ukiangalia hapo utaona uislam upo mbele ya muda,Kila kitu kipo kwenye maandiko,.......
Sahih al-Bukhari 5686 - Medicine - كتاب الطب - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
"The climate of Medina did not suit some people, so the Prophet (ﷺ) ordered them to follow his shepherd, i.e. his camels, and drink their milk and urine (as a medicine). So they followed the shepherd that is the camels and drank their milk and urine"

1000410110.jpg
 
Nimefanya survey ya mtaani ninapoishi!
DNA test za watoto wa wanandoa!
Online confessions nyingi

Wewe usitake kubisha ila baki na unachoamini mpaka kikukute
Sasa ujima wa mtaani kwako ndiyo unawavisha wanawake wa dunia nzima?

Unajua kitu kinaitwa "selection bias"?
 
Sahih al-Bukhari 5686 - Medicine - كتاب الطب - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
"The climate of Medina did not suit some people, so the Prophet (ﷺ) ordered them to follow his shepherd, i.e. his camels, and drink their milk and urine (as a medicine). So they followed the shepherd that is the camels and drank their milk and urine"

View attachment 3158676
Haya maneno ya Quran?
Sura ya ngapi?
Aya ya ngapi?😃😅🤣
Reference ya uislam ni QURAN
Mfano ukisoma Mwanzo 4:19,16:1-4,29:18-29,......biblia ipo wazi kuhusu kuoa wake wengi,ila WAPUMBAVU wachache kwenye ukristo,hawaamini kwenye kuoa mke zaidi ya mmoja
Ukiangalia hapo,unaona Yes!,uislam upo mbele ya muda
 
Wale wa Engonga walikua wanapigiwa maeneo hayo hayo, ofisini,safarini, nyumbani maana ndiko wanakokua huru huko
Uoga wenu tu mzee, unahisi unachapiwa kila muda. Huyo mke ni kicheche kiasi gani?? Na hii ndio sababu wanawake wanawaendesha saana maana wanaona jinsi mlivyo na hofu na mashaka juu yao.

Ondoa hiyo akili ya kuchapiwa chapiwa kila saa.
 
Tuseme tu ukweli mwanadamu ama kiumbe chochote kinaishi siku zote kutafuta amani utulivu furaha nk.
Vyote afanyavyo binadamu hitimisho lake ni kupata furaha au raha .
Hata kusali, kuimba nyimbo kuzaa watoto kujenga nyumba nk yote afanyayo lengo lake kuu au faida ya jumla ni kupata furaha.

Kwa lugha rahisi dhani jumuishi ya maishi ni furaha na furaha zinapatika kwenye vyanzo vingi kulingana na mazingira yanayo mzunguka.

Sasa sisi kwa ubinafsi wetu na matamanio yetu na vionjo vyetu hatupo tayari kuona fulani anapata kile kinachompa furaha ,l
Yote ni ujumla wa ubinafsi wetu wa kupata mimi mwenzangu akose!
Umenena vyema. Na kama ukiweza kuheshimu furaha ya mwenzako. Hutaumizwa na furaha zake.
 
Back
Top Bottom