Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Sasa mtu anahofu ya Mungu atafanyaje tena uzinz hayo mamb yapo kwa watu wasio na hofu ya Mungu
Hofu ya mungu kivipi? Masister, mapadri, wachungaji, wake za wachungaji, mashehe wote wanaofanya uzinzi. Inamaana hiyo hofu hawana?
 
Joline usilete ubishi hata wewe una price Tag, kama unataka nikueleweshe Jibu maswali haya.
1.ili mwanaume awe na ww anatakiwa afanye nn.
2.Ktk Uhusiano wa kimapenzi au Ndoa unaitaji nini...
3.Je unaweza kua na mwanaume asiekua na kazi/ Kipato.
Forget her...she is a pretender
 
Wacha wamle tu, kwani wanaondoka nayo? Ili mradi sijui na akirudi anatimiza wajibu wake kama kawaida why should I give a rat's ass? Mkuu, acha kuhofia vitu ambavyo huna control navyo.
 
Hii nakubali.
Mwezi uliopita mshkaji wangu kala mke wa mchungaji kwenye kongamano Mwanza. Mama mchungaji katokea Singida, wamejuana na jamaa siku hiyohiyo na chupi akavuliwa siku hiyohiyo.

Huyo mchungaji sijui alikosea wapi akaoa mnyaturu.
Dah aisee ,kweli au chai mkuu
 
Umenikumbusha miaka ya nyuma nilikua Tanga kikazi ikawa kila Weekend nachomoka nakuja Dar ndani ya Tashrif nikakutana na mdada Mwalimu wa Secondary yupo na mtoto kama wa miaka mi tatu nilijikausha ili asinipe mwanae nimsaidie lakini wapi tukaanza story akasema anaenda kwa mumewe naye ni mwalimu yupo Kibaha tukabadishana namba alivyorudi Tanga tukaonana akanipa mbususu safi.. nishanasa wengi kwenye vyombo vya usafiri..sijui hua wanababaika na nini hawa wanawake
 
Kwa Karne hii, mwanamke pesa yako. Wanawake wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa.

mwanamke yoyote analika chamsingi ufike tu Dau, au kwa msemo mwingine mwanamke ana Price Tag, ukifika Dau lake analika
[emoji23][emoji23][emoji16]
 
Pole, walikufanyiaje mkeo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…