Wakenya 6 wanaoshiriki sherehe za JAMAFASET Dar, wametoroka

ikitokea wamerudi watawasimulia, usikute mingine ndo tunachati nayo huyu??

Wanaotoka mikoani tu hawarudi makwao ndo itakua Kenya,Burundi,Rwanda?

huko kote maisha magumu sana Dar unaweza kaa KKO na brush yako na kiwi ukaanzaa ku shine viatu vya watu maisha yakaenda
Kenya huwezi..biashara ndogo hizo ninamilikiwa na matajiri
 
Wajinga ndio waliwao [emoji23][emoji23][emoji23]
Pia kuna majambazi wenu huku wamejaa kwenye magereza yetu,
Pia kuna wakenya Wengi wanalipwa mishahara midogo sana huku kwa sababu mkenya ukimlipa pesa kidogo anakubali.
Pia Kuna Waganga na Wachuuzi wengi sana ama unataka kusema pia wao wako na work permit ? si wafanye Uganga huko Tanzania.
 
Nyani haoni kundule...in Kenya undocumented immigrants Kutoka Tanzania ni wengi hata kuliko Wakenya undocumented walioko Tanzania.
 
Wapi source ya taarifa yako au hata link tu? Maanake navowajua nyinyi labda mmewafumania kisha mkawachuna ngozi. #BringBackOurBoysNow!
 
Nyani haoni kundule...in Kenya undocumented immigrants Kutoka Tanzania ni wengi hata kuliko Wakenya undocumented walioko Tanzania.
Hahahaha, ukiondoa ombaomba ambao hawawezi kuandamwa na " crime", kama kuna mtanzania anayekuja Kenya na kuacha nchi yenye maziwa na asali, basi mchunguzeni kwa makini sana, labda ana mpango wa kujiunga na Alshabaab.
 
Wapi source ya taarifa yako au hata link tu? Maanake navowajua labda mmewafumania kisha mkawachuna ngozi. #BringBackOurBoysNow!
Hahahaha, uhamiaji ya Tanzania wamesema bado wanachukulia kwamba wanaishi kisheria hadi baada ya miezi 3 ikiisha ndio watatoa tamko rasmi, kumbuka mkenya anaweza kuishi hadi miezi mitatu bila visa.
 
Hahahaha, ukiondoa ombaomba ambao hawawezi kuandamwa na " crime", kama kuna mtanzania anayekuja Kenya na kuacha nchi yenye maziwa na asali, basi mchunguzeni kwa makini sana, labda ana mpango wa kujiunga na Alshabaab.
Acha chuki zisizokuwa na tija, kwa ndugu zako ambao wanajituma. Tembea ujionee mwenyewe, ungekuwa mtu mstaarabu anaye eleweka ningekualika nikuhost kwa muda. Nikutembeze sehemu flani za Nairobi ambapo kichagga ndio lugha rasmi. Watz wapo wengi hata kwenye miji mingine ya Kenya, na wamejikita kwenye kuchuuza bidhaa, sanasana nguo.
 
Kweli mkuu
 

Hahahahaaa! Unawajua wenzio kumbe.
 
Mi nasema sawa tu tunawakaribisha kwa mikono miwili!
 
Wakenya bhana. Tutawasaka mpaka tuwapate wamejificha wapi.
 
Hao wa Eritrea ata wakija kwenye mashindano ya mpira lazima wabaki Dar, ila kati ya wote waliokimbia wakenya ndiyo kuwapata ni ngumu, wana mtandao hapa Dar halafu ni rahisi ku communicate na wazawa nakujificha.

Bila kusahau ata ukiwaona waki timua mbio huwakamati [emoji38]
 
Wachaga ninaweza kukubaliana na wewe, hata Yemen na Syria utawakuta wanafanya biashara huku MABOMU yanarindima, ukiachana na wachagga, kati ya makabila zaidi ya 130, kuna mtanzania toka kabila gani zaidi ya wachagga yupo Kenya?, kuwa mkweli tafadhali sana.
 
Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha.
 
Hujui kama uchumi nao hutegemea ni aina gani ya uchumi wa nchi husika,nigeria,kenya na south Africa zina uchumi wa GDP yaani uchumi wa makaratasi,uchumi ambazo upo tu kwenye makaratasi lakini hau-reflect maisha halisi ya wananchi wa nchi husika
 
mkuu Acha tu kazi tunayo .sijategemea kucheka ivo basi tu.asikuambia mtu chochote kenya itabaki kuwa juu.
ndivyo unavyojidanganya kenya itabaki kuwa juu huku upo bongo school teacher kwa mshahara wa $ 300!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…