Wakenya 6 wanaoshiriki sherehe za JAMAFASET Dar, wametoroka

Wakenya 6 wanaoshiriki sherehe za JAMAFASET Dar, wametoroka

Na mbona wale wakala mavi na kuna watu bado wanalalamika kuhusu vyuma vimekaza...
Maskini mbna ni wengi bado hko bongo kuliko nchi yeyote afrika mashariki
Watakujibu hawa wenzenu 6 waliotoroka kurudi Kenya na kuamua kuzamia katika nchi ya maziwa na asali.
 
Mtanzania anayezungumza kingereza ana lafudhi nzuri kuliko wakenya wengi,
Kingine watanzania hatuabudu kingereza kama wakenya.
kumbe unatambua hilo school teachers wengi ni wakenya.tulieni sasa tuwafunze kingereza maana nyie kingereza chenu kina tia kichefuchefu.
 
Je hii habari ni ya kwel[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Lumumba mnavamia hadi jf?
Amani wameijuaje?
wanajua kuna watu wanalazimishwa kukiri makosa ili walipe faini?
Screenshot_20190927-214733_Lite.jpeg
 
Mi na enjoy tu hapa [emoji28], bongo nimenyimwa kutambulusho kisa eti naonekana kama mpemba hivi [emoji28][emoji28] ndugu zangu Kenya nao hivyo hivyo eti sababu wao wako kama wasomali hivi [emoji28] sasa hapa hata pa kusupport sijui wapi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nchi itajisifiaje tajiri ikiwa haina ajira toshelezi??
We huoni kuwa ukosefu mkubwa wa ajira huzalisha masikini wengi.
Wao wanadhani kuwa na maghorofa marefu na watu wachache kuwa matajiri wakati wananchi walio wengi bado wanaishi mwenye slums na kufa kwa njaa, ndio utajiri.
 
give credit where it's due. hii speed ya JPM tz itafika mbali kwaiyo wakenya tusishangae wakitufikia.
 
Ajira vile vile pia sio kigezo cha kumfanya mtu awe na maisha mazuri...
Sio sawa na mtu ambae jobless kama wewe,kutwa upo jf kusifia maghorofa ya nairoberry halafu wewe mwenyewe unaishi kibera huku ukiwa hauna kazi,njoo bongo uwe gardener wangu
 
Heheee!!umeona sasa umeanza kutoka nje ya mada...
Ukwel ni kwamba hta mama lishe ana maisha mazuri hta kuliko wengi waliojariwa
Sio sawa na mtu ambae jobless kama wewe,kutwa upo jf kusifia maghorofa ya nairoberry halafu wewe mwenyewe unaishi kibera huku ukiwa hauna kazi,njoo bongo uwe gardener wangu
 
Back
Top Bottom