Wakenya 6 wanaoshiriki sherehe za JAMAFASET Dar, wametoroka

Nani amerogwa? nyie jamaa mpo brainwashed kijinga mnooo yaani mnooo.
Lkn bado mnaongoza kw majungu..
Ya nn sasa umroge mwenzako..ingependeza sana km mngeliwacha kurogana wenyewe kw wenywe, manake imezidi hko kwenu...

Angalau basi hta mkaanza kuroga wageni ndio huo upendo wenu uzidi kudumu
 
Ndio kaka hiyo ndio definition ya employment.
Lakini hapa mkuu si tunazungumzia kuhusu kupata income ??
Unaposema paid "work" inamaana work is anything legal done to generate income.
Inamaana kuwa hapo tunatafuta income by doing a legal work and get "paid" our wages haijalishi ni low wages or high wages.
Lakini tuna generate income.
Asa kupitia hzo wages wapo wenye total income kubwa kwasababu ya kuwa wanapata high payments na wapo wenye total income ndogo kwakuwa wanapata low payment.
Asa chukulia mfano watu massively hawajaajiriwa kaka je hiyo total income wataipataje???
Au total income ipi unaizungumzia ww buddah?

Ama nimekosea bro?
cc:komora096
 
Lkn bado mnaongoza kw majungu..
Ya nn sasa umroge mwenzako..ingependeza sana km mngeliwacha kurogana wenyewe kw wenywe, manake imezidi hko kwenu...

Angalau basi hta mkaanza kuroga wageni ndio huo upendo wenu uzidi kudumu
Tanzania hatuna asili ya uchawi, ni hivi majuzi tuu kulingana na shida mlizonazo tukaamua kuwapunguzia mzigo wa dada yenu tukamuoa kwa harusi kubwa mtoto sura nzuri lakini kumbe ana kataaluma kabaya cha uchawi na alifikia level ya mkemia mkuu,,,, alivyoanza kutoa makucha yake akataka kuvuruga ukoo mzima ....ikawa hakuna jinsi tumewarejeshea mpambane na hali zenu.
 
Nyinyi ni wachawi bro...km mtu anaweza kumtoa mwanae katika njia za kishirikina, au huo ndo mtindo wa kisasa
Tanzania hatuna asili ya uchawi, ni hivi majuzi tuu kulingana na shida mlizonazo tukaamua kuwapunguzia mzigo wa dada yenu tukamuoa kwa harusi kubwa mtoto sura nzuri lakini kumbe ana kataaluma kabaya cha uchawi na alifikia level ya mkemia mkuu,,,, alivyoanza kutoa makucha yake akataka kuvuruga ukoo mzima ....ikawa hakuna jinsi tumewarejeshea mpambane na hali zenu.
 
Tanzania hatuna asili ya uchawi, ni hivi majuzi tuu kulingana na shida mlizonazo tukaamua kuwapunguzia mzigo wa dada yenu tukamuoa kwa harusi kubwa mtoto sura nzuri lakini kumbe ana kataaluma kabaya cha uchawi na alifikia level ya mkemia mkuu,,,, alivyoanza kutoa makucha yake akataka kuvuruga ukoo mzima ....ikawa hakuna jinsi tumewarejeshea mpambane na hali zenu.
Heee yupi huyo?!!
 
Hebu tupe uhondo wewe changudoa wa arusha
Aliye kudanga nganya mm ni mwanamke hakutakii mema.
Wewe siupo dar umetoroka wachezangoma wenzako sasa unaniuliza nini ?
Alikiba alikuwà anaona mauzauza kila siku kumbe wakenya wa Mombasa siyo haba wachawi konki
 
Hebu tupe uhondo wewe changudoa wa arusha
Mtafuteni wenyewe sini dada yenu tumeshamrudisha Kenya yupo kwenye mojawapo ya slum za Mombasa ,mtafuteni mmuulize lakini akiwageuza misukule sisi hatumo Kwa sababu ni Fundi hasa siyo mchezo
 
Heheee!!labda mwneywe kaona kw kiba kila siku wageni hawaishi..tena bila ya sababu za msingi..mara shemeji kaja na mkewe holiday, sijui shangazi katoka kijijini kaja muishi naye kisa maisha ya kijijini yamemchosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwenywe hakuzoea hayo...anahitaji space na privacy..

Nikweli wakenya ni wachoyo sana wakija dar tunawakaribisha majumbani mwetu ila wao tukienda Kenya awawezi kukuonyesha wapi wanaishi sembuse kukukaribisha
 
Ukaribishwe kw mtu km nani...eti urafiki wa mitandaoni au kazini basi ndio uje kwangu...kw lipi haswa..kwn mi ni basha wako...

Back
Top Bottom