Wakenya 6 wanaoshiriki sherehe za JAMAFASET Dar, wametoroka

Mnaisifia sana hii nchi yangu pendwa lakini ni yawalala hoi tu
 
Punguza jazba...km wataka kufunzwa sema....
Umaskini ni nn kwanza?
Anyway sorry, nimesahau "umaskini ni ukosefu wa ajira"
Nice time bro
Ila unapunguzwa kwa kukosa ajira kwa sababu ya watu wachache kumiliki uchumi wote pamoja na ardhi yenye rutuba?
 
Umaskini haupunguzwi kw
ajira
Unajua indicators of poverty moja wapo ni unemployment ???
Shule buddah ulienda kufanya nini???
Watu wasipoajiriwa hawawezi kupata wellbeing zao kabbisa mwishowe huangukia ombaomba ama ukora.
Ila unapopatia watu ajira inawapa urahisi wao wa kupata mahitaji yao na kupunguza wimbi la umasikini.
Bro usiniangushe bhanaa hii elimu ya Civics form 2 kabbisa!!!
 
So umaskini ni ukosefu wa ajira kulinga na wewe...si mbaya pia...

Kulingana na mm kitu chenye kina determine umaskini ni total income yako,iwe kw siku, wiki, mwezi, au hata mwaka...

Unaona unavyojichanganya??
Total income hiyo unayoizungumzia ina chanzo chake cha kukipata.
Kama sio kwa kujiajiri basi ni kuajiriwa.
Laa sivyo kutakua na namna nyingine illegal ya kupata hiyo total income unayoizungumzia wewe.
Wapo waliojiajiri ila total income yao iwe kwa siku au kwa mwezi ni ndogo mathalan mama ntilie.
Na wapo walioajiriwa ila total income yao ni kubwa iwe kwa week ama kwa mwezi mathalan engineers.

Asa ndugu watu wanapokosa ajira kwa kiasi kikubwa nambie hiyo total income unayoizungumzia wewe watapataje???
Ebu nifafanulie.....
 
Usitake kupinga maoni yangu kw kupandikiza vitu negative..wewe unaamini ajira ndio ina determine umaskini ni sawa...

So usitake na mm niamini unavyotaka wewe...
Unaona unavyojichanganya??
Total income hiyo unayoizungumzia ina chanzo chake cha kukipata.
Kama sio kwa kujiajiri basi ni kuajiriwa.
Laa sivyo kutakua na namna nyingine illegal ya kupata hiyo total income unayoizungumzia wewe.
Wapo waliojiajiri ila total income yao iwe kwa siku au kwa mwezi ni ndogo mathalan mama ntilie.
Na wapo walioajiriwa ila total income yao ni kubwa iwe kwa week ama kwa mwezi mathalan engineers.

Asa ndugu watu wanapokosa ajira kwa kiasi kikubwa nambie hiyo total income unayoizungumzia wewe watapataje???
Ebu nifafanulie.....
 
Kenya hali ngumu sana!!! sasa wakikuta nchi ambayo elfu moja unaishi siku 3, watu ni wakarimu kila ukipita mtaani watu wanakusalimia wanatamani uongee nao na wanataka urafiki wa kweli, nchi ina amani teletele tangu wamefika hawajawahi husikia mlio wowote wa risari, wakipita mitaani wamachinga kutoka nchini kwao wamejazana wanafanya biashara bure kabisa ukikuta sehemu yoyote ya wazi unapanga bidhaa zako bila kuulizwa na mtu yoyote.....kwa nini wasikimbie?
 
Cc: kosugi
Ninavyojua mm employment ni paid work agreement between the employer and employee...

May be you can come up with your definition my bruda
 
Lkn bado mnaongoza kw majungu..
Ya nn sasa umroge mwenzako..ingependeza sana km mngeliwacha kurogana wenyewe kw wenywe, manake imezidi hko kwenu...

Angalau basi hta mkaanza kuroga wageni ndio huo upendo wenu uzidi kudumu
Kenya hali ngumu sana!!! sasa wakikuta nchi ambayo elfu moja unaishi siku 3, watu ni wakarimu kila ukipita mtaani watu wanakusalimia wanatamani uongee nao na wanataka urafiki wa kweli, nchi ina amani teletele tangu wamefika hawajawahi husikia mlio wowote wa risari, wakipita mitaani wamachinga kutoka nchini kwao wamejazana wanafanya biashara bure kabisa ukikuta sehemu yoyote ya wazi unapanga bidhaa zako bila kuulizwa na mtu yoyote.....kwa nini wasikimbie?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom