babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Lkn bado mnaongoza kw majungu..
Ya nn sasa umroge mwenzako..ingependeza sana km mngeliwacha kurogana wenyewe kw wenywe, manake imezidi hko kwenu...
Angalau basi hta mkaanza kuroga wageni ndio huo upendo wenu uzidi kudumu
Nawazungumzia wote mkuu.Mlala hoi ni ww binafsi
Acha kuzungumzia wenzie
Ah Hilo halipoNawazungumzia wote mkuu.
Nani amerogwa? nyie jamaa mpo brainwashed kijinga mnooo yaani mnooo.
Sipendi watu wa kupinga pinga kila kitu chenye sio juhudi za ccm
Huna hoja.
Tanzania hatuna asili ya uchawi, ni hivi majuzi tuu kulingana na shida mlizonazo tukaamua kuwapunguzia mzigo wa dada yenu tukamuoa kwa harusi kubwa mtoto sura nzuri lakini kumbe ana kataaluma kabaya cha uchawi na alifikia level ya mkemia mkuu,,,, alivyoanza kutoa makucha yake akataka kuvuruga ukoo mzima ....ikawa hakuna jinsi tumewarejeshea mpambane na hali zenu.Lkn bado mnaongoza kw majungu..
Ya nn sasa umroge mwenzako..ingependeza sana km mngeliwacha kurogana wenyewe kw wenywe, manake imezidi hko kwenu...
Angalau basi hta mkaanza kuroga wageni ndio huo upendo wenu uzidi kudumu
Tanzania hatuna asili ya uchawi, ni hivi majuzi tuu kulingana na shida mlizonazo tukaamua kuwapunguzia mzigo wa dada yenu tukamuoa kwa harusi kubwa mtoto sura nzuri lakini kumbe ana kataaluma kabaya cha uchawi na alifikia level ya mkemia mkuu,,,, alivyoanza kutoa makucha yake akataka kuvuruga ukoo mzima ....ikawa hakuna jinsi tumewarejeshea mpambane na hali zenu.
Heee yupi huyo?!!Tanzania hatuna asili ya uchawi, ni hivi majuzi tuu kulingana na shida mlizonazo tukaamua kuwapunguzia mzigo wa dada yenu tukamuoa kwa harusi kubwa mtoto sura nzuri lakini kumbe ana kataaluma kabaya cha uchawi na alifikia level ya mkemia mkuu,,,, alivyoanza kutoa makucha yake akataka kuvuruga ukoo mzima ....ikawa hakuna jinsi tumewarejeshea mpambane na hali zenu.
Heee yupi huyo?!!
Hebu tupe uhondo wewe changudoa wa arushaMke wa Ali kiba ujasikia
Mke wa Ali kiba ujasikia
Mdangaji wa kibera [emoji23] [emoji23]. ngoja akupe uhondoHebu tupe uhondo wewe changudoa wa arusha
Aliye kudanga nganya mm ni mwanamke hakutakii mema.Hebu tupe uhondo wewe changudoa wa arusha
Mtafuteni wenyewe sini dada yenu tumeshamrudisha Kenya yupo kwenye mojawapo ya slum za Mombasa ,mtafuteni mmuulize lakini akiwageuza misukule sisi hatumo Kwa sababu ni Fundi hasa siyo mchezoHebu tupe uhondo wewe changudoa wa arusha
Mtafuteni wenyewe sini dada yenu tumeshamrudisha Kenya yupo kwenye mojawapo ya slum za Mombasa ,mtafuteni mmuulize lakini akiwageuza misukule sisi hatumo Kwa sababu ni Fundi hasa siyo mchezo
Nikweli wakenya ni wachoyo sana wakija dar tunawakaribisha majumbani mwetu ila wao tukienda Kenya awawezi kukuonyesha wapi wanaishi sembuse kukukaribishaHeheee!!labda mwneywe kaona kw kiba kila siku wageni hawaishi..tena bila ya sababu za msingi..mara shemeji kaja na mkewe holiday, sijui shangazi katoka kijijini kaja muishi naye kisa maisha ya kijijini yamemchosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenywe hakuzoea hayo...anahitaji space na privacy..
Nikweli wakenya ni wachoyo sana wakija dar tunawakaribisha majumbani mwetu ila wao tukienda Kenya awawezi kukuonyesha wapi wanaishi sembuse kukukaribisha