Nimesadikisha nayosikiaga.Ukaribishwe kw mtu km nani...eti urafiki wa mitandaoni au kazini basi ndio uje kwangu...kw lipi haswa..kwn mi ni basha wako...
Nimesadikisha nayosikiaga.
Ninyi jamaa hamnaga ujamaa kabbisa hata kutembeleana eti kwa appointment kama kazini duh acheni hizo mambo mob.
Mtu wa kumpeleka kwako muangalie kwanza...
Si kukurupuka tu..wachezea binadamu wewe
Hahaahahhha daaah !
Sisi iko tofauti sana.
Muamini mtu hata km mdanganyifu atajuana na Mola wake.
You just play your part.
Icho icho chumba cha kulala,store, iyo iyo pia sebure huwezi nipeleka.We cheka tu...binadamu atabaki kuwa binadamu na malaika atabaki kuwa malaika tu...hamna la ziada...
Usikubali mtu akusoma rada zako...mi mambo yangu kwangu kwangu tu
Icho icho chumba cha kulala,store, iyo iyo pia sebure huwezi nipeleka.
Janga la taifa 😳😩Icho icho chumba cha kulala,store, iyo iyo pia sebure huwezi nipeleka.
BwaaaaaaahhhhhMtu wa kumpeleka kwako muangalie kwanza...
Si kukurupuka tu..wachezea binadamu wewe
Ndivyo tulivyo kama nilivyo sema wakenya awakukaribishi wanapoishi wala kukuonyesha kuna wakenya 8 miaka ya 2008 walikuja dar sisi tuliwakalibisha home Leo Kwa yule kesho Kwa huyu walikuwa wanabadili makazi tu hadi wakakataa kukaa hoterini wakawa wanaishi Kwa marafiki wa kibongo baadae wakarudi Kenya sasa Kwa bahati na sisi tukaata safari Kenya ila mm sikwenda walienda watz 3 walipofika Naii wakaona wawa tafute wale marafiki wa Kenya ndipo walipokutana ila cha kushangaza wale wakenya 8 wote waliwazungusha wa bongo miezi 6 bila kuwaonyesha hata eneo wanaloishi hadi wanaondoka ni kukutana Kwa bar na hoteri tuHeheee!!labda mwneywe kaona kw kiba kila siku wageni hawaishi..tena bila ya sababu za msingi..mara shemeji kaja na mkewe holiday, sijui shangazi katoka kijijini kaja muishi naye kisa maisha ya kijijini yamemchosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenywe hakuzoea hayo...anahitaji space na privacy..
Bwaaaaaa Leo upo online mudu huu !!! Umekula chakula kweli ?Hayakuhusu...we baki na bungalow lako...
Mbuzi katolikiJanga la taifa [emoji15][emoji30]
Bwaaaaaa Leo upo online mudu huu !!! Umekula chakula kweli ?