Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hapo kosa la wakenya kutumia kiingereza liko wapi?Lugha ambayo wamezaliwa hadi wanakua wanaitumia.Imekuwa ni sehemu yao ya maisha.Waacheni watumie,iwe ni kiingereza fasaha au sheng,waachwe.Kimsingi hakuna lugha bora zaidi ya nyingine sababu sifa ya kuu ya kuitwa lugha ni kukidhi mahitaji ya watumiaji wake
Wale wazee wa linguistics wanajua hili
Kwahiyo kudhani kutumia English eti ndiyo utasikika ni ujinga
Ingawa English ni lingua franca bado waafrica wanaweza kuelewana bila English.
Ukiangalia wakorea, Chinese na wengine wa Asia hawatumii sana kingereza lakini wako mbali sana kimaendeleo.
Kama hoja yake inawakilishwa na malalamiko ya Slay Queen,kwanini huyo Slay Queen hajamalizia sentensi yake Kwa lugha ya Kiha,au Kinyamwezi? Kama kiswahili kilivyo lugha ya taifa Tz, Kingereza pia ni lugha ta taifa Ke...Huwa anaharanya na broken zake humu JF tunamchora tu.Anaandikaga kiingereza cha kimwanjokamwanjoka!🤣🤣🤣🤣🙏
Aelewe hilo.Tena aelewe hasa!Kama hoja yake inawakilishwa na malalamiko ya Slay Queen,kwanini huyo Slay Queen hajamalizia sentensi yake Kwa lugha ya Kiha,au Kinyamwezi? Kama kiswahili kilivyo lugha ya taifa Tz, Kingereza pia ni lugha ta taifa Ke...
Ni sawa lakini kama unavyojua kuwa mtu anakuwa vizuri zaidi na akiwa amedhamiria kufikisha ujumbe basi hutumia mother tongue yaani first language ambayo nina uhakika kwa wakenya haiwezi kuwa ni English bali lugha za makabila ambazo mtoto anaimasta nyumbani then English shuleHapo kosa la wakenya kutumia kiingereza liko wapi?Lugha ambayo wamezaliwa hadi wanakua wanaitumia.Imekuwa ni sehemu yao ya maisha.Waacheni watumie,iwe ni kiingereza fasaha au sheng,waachwe.
Sawa,lakini,tukumbuke kwamba kuna wengine hawajui lugha mama zao.Yawezekana huyo/hao wakawa wamoja wao.Hata hivyo,hauoni ni faida hata kwetu sisi tusiojua Kikikuyu,Kimaasai,Kikurya,Kiluo au lugha mama za kule Hargheisa?Kiingereza kimekuwa kiungo muhimu kwetu sote.Ni sawa lakini kama unavyojua kuwa mtu anakuwa vizuri zaidi na akiwa amedhamiria kufikisha ujumbe basi hutumia mother tongue yaani first language ambayo nina uhakika kwa wakenya haiwezi kuwa ni English bali lugha za makabila ambazo mtoto anaimasta nyumbani then English shule
Point yangu ni kuwa jamaa kaamua kutumia English ili asikike zaidi maana hiyo language ni lingua franca
Kwa nini?Hii platform sasa imeanza kuwa na watu wa ajabu
That's is it.Sawa,lakini,tukumbuke kwamba kuna wengine hawajui lugha mama zao.Yawezekana huyo/hao wakawa wamoja wao.Hata hivyo,hauoni ni faida hata kwetu sisi tusiojua Kikikuyu,Kimaasai,Kikurya,Kiluo au lugha mama za kule Hargheisa?Kiingereza kimekuwa kiungo muhimu kwetu sote.
Acha kamba mkuu tangu lini hii?kingereza ni sehemu ya native languages za Kenya tangu Enzi na Enzi?
This is what I am talking aboutAisee inawezekana sijakuelwa vizuri ulicho kiandika!
Lakini umenifurahisha hapo kwa slei kwin wa bongo.
Ulicho kiongea nisahihi kabisa lazima atatumia lugha mama ili kuonesha nikiasi gani ameathirika au kuumizwa natukio la kuibiwa aifon yake.
Sorry mkuu.Utani tu.Sawa umeshinda mkuu. Babu bila
Hakuna typing error ya hivyo. Hujui kiingereza na ndo maana unawachukia wanaokijua. Eti i went to bought. Kuna typing error ipi inayokufanya ukosee buy uandike bought? Kajifunze usiwachukie wanaokifahamu.Usiwe kilaza. Typing error
Kilaza huyu dogo hajui hata typing error anaandika bought anasema typing error au bado anadhani amekosea letter moja au mbili. Kumbe kakosea neno zima.Typing error?Bought wapi na wapi kuzikaribia purchase na buy kiuandishi?🤣🤣🤣🤣
Yaani kuna watu mpaka leo hii wanadhani wakitumia kizungu eti ndio Mungu anawasikia vizuri. Duh😎Ni sawa lakini kama unavyojua kuwa mtu anakuwa vizuri zaidi na akiwa amedhamiria kufikisha ujumbe basi hutumia mother tongue yaani first language ambayo nina uhakika kwa wakenya haiwezi kuwa ni English bali lugha za makabila ambazo mtoto anaimasta nyumbani then English shule
Point yangu ni kuwa jamaa kaamua kutumia English ili asikike zaidi maana hiyo language ni lingua franca