Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hapo kosa la wakenya kutumia kiingereza liko wapi?Lugha ambayo wamezaliwa hadi wanakua wanaitumia.Imekuwa ni sehemu yao ya maisha.Waacheni watumie,iwe ni kiingereza fasaha au sheng,waachwe.Kimsingi hakuna lugha bora zaidi ya nyingine sababu sifa ya kuu ya kuitwa lugha ni kukidhi mahitaji ya watumiaji wake
Wale wazee wa linguistics wanajua hili
Kwahiyo kudhani kutumia English eti ndiyo utasikika ni ujinga
Ingawa English ni lingua franca bado waafrica wanaweza kuelewana bila English.
Ukiangalia wakorea, Chinese na wengine wa Asia hawatumii sana kingereza lakini wako mbali sana kimaendeleo.