Wakenya acheni utoto

Wakenya acheni utoto

Kimsingi hakuna lugha bora zaidi ya nyingine sababu sifa ya kuu ya kuitwa lugha ni kukidhi mahitaji ya watumiaji wake

Wale wazee wa linguistics wanajua hili
Kwahiyo kudhani kutumia English eti ndiyo utasikika ni ujinga

Ingawa English ni lingua franca bado waafrica wanaweza kuelewana bila English.

Ukiangalia wakorea, Chinese na wengine wa Asia hawatumii sana kingereza lakini wako mbali sana kimaendeleo.
Hapo kosa la wakenya kutumia kiingereza liko wapi?Lugha ambayo wamezaliwa hadi wanakua wanaitumia.Imekuwa ni sehemu yao ya maisha.Waacheni watumie,iwe ni kiingereza fasaha au sheng,waachwe.
 
Huwa anaharanya na broken zake humu JF tunamchora tu.Anaandikaga kiingereza cha kimwanjokamwanjoka!🤣🤣🤣🤣🙏
Kama hoja yake inawakilishwa na malalamiko ya Slay Queen,kwanini huyo Slay Queen hajamalizia sentensi yake Kwa lugha ya Kiha,au Kinyamwezi? Kama kiswahili kilivyo lugha ya taifa Tz, Kingereza pia ni lugha ta taifa Ke...
 
Hapo kosa la wakenya kutumia kiingereza liko wapi?Lugha ambayo wamezaliwa hadi wanakua wanaitumia.Imekuwa ni sehemu yao ya maisha.Waacheni watumie,iwe ni kiingereza fasaha au sheng,waachwe.
Ni sawa lakini kama unavyojua kuwa mtu anakuwa vizuri zaidi na akiwa amedhamiria kufikisha ujumbe basi hutumia mother tongue yaani first language ambayo nina uhakika kwa wakenya haiwezi kuwa ni English bali lugha za makabila ambazo mtoto anaimasta nyumbani then English shule

Point yangu ni kuwa jamaa kaamua kutumia English ili asikike zaidi maana hiyo language ni lingua franca
 
Sawa,lakini,tukumbuke kwamba kuna wengine hawajui lugha mama zao.Yawezekana huyo/hao wakawa wamoja wao.Hata hivyo,hauoni ni faida hata kwetu sisi tusiojua Kikikuyu,Kimaasai,Kikurya,Kiluo au lugha mama za kule Hargheisa?Kiingereza kimekuwa kiungo muhimu kwetu sote.
 
That's is it.
English ni lingua franca of the world, ukitaka usikike kirahisi na ueleweke kwa haraka , just use English

Ndiyo hapo mpaka huku tumemuelewa sasa tofauti na angetumia mother tongue angejilimit kwao tu na watu wa kabila lake.
 
kingereza ni sehemu ya native languages za Kenya tangu Enzi na Enzi?
Acha kamba mkuu tangu lini hii?

Wakenya native languages zao na hata Africa yote lazima ziwe zile za makabila yao ndiyo mother tongue ambazo mtu huimasta nyumbani yaani hajifunzi ila ana acquire tu .

Labda useme hawa wa sasa generation hii ambayo unakuta wanaishi mijini hivyo first language inakuwa ni English au kiswahili ..

Ila kama ni tangu enzi basi hapana wale English ilikuwa second language na walijifunza shule.
 
Aisee inawezekana sijakuelwa vizuri ulicho kiandika!
Lakini umenifurahisha hapo kwa slei kwin wa bongo.
Ulicho kiongea nisahihi kabisa lazima atatumia lugha mama ili kuonesha nikiasi gani ameathirika au kuumizwa natukio la kuibiwa aifon yake.
 
This is what I am talking about
 
Usiwe kilaza. Typing error
Hakuna typing error ya hivyo. Hujui kiingereza na ndo maana unawachukia wanaokijua. Eti i went to bought. Kuna typing error ipi inayokufanya ukosee buy uandike bought? Kajifunze usiwachukie wanaokifahamu.
 
Ni sawa lakini kama unavyojua kuwa mtu anakuwa vizuri zaidi na akiwa amedhamiria kufikisha ujumbe basi hutumia mother tongue yaani first language ambayo nina uhakika kwa wakenya haiwezi kuwa ni English bali lugha za makabila ambazo mtoto anaimasta nyumbani then English shule

Point yangu ni kuwa jamaa kaamua kutumia English ili asikike zaidi maana hiyo language ni lingua franca
Yaani kuna watu mpaka leo hii wanadhani wakitumia kizungu eti ndio Mungu anawasikia vizuri. Duh😎
 
Back
Top Bottom