Wakenya acheni utoto

Wakenya acheni utoto

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Wakenya hawana lolote wanacho kifanya ni MAIGIZO tu.

Ukiona mbongo anasali kwa kiingereza basi jua hana shida huyo.

Ukiona mtu anaelezea matatizo yake kwa lugha ya kigeni wakati ana option ya kuyaelezea kwa lugha yake mwenyewe basi jua hana matatizo huyo.

Muandamanaji anasema

" we are tired. This government is bad. We are hungry. We don't have food " blah blah blah.

And you are taking him seriously?

Angekuwa ana shida kweli angezitaja kwa lugha mama yake na sio lugha ya kigeni.

Upo na matatizo ya ukweli ukweli unapata wapi muda wa kufanya madoido ya kutumia lugha ya kigeni?

Saikolojia ya lugha inayo muhusu mwafrika inasema mwafrika huwaga anataja matatizo yake kwa lugha mama yake na kamwe hawezi kuyataja kwa lugha ya kigeni ambayo huwa mwafrika anaiona superior language.

Jambo zuri atalitaja kwa kiingereza ila jambo baya ndo atalitaja kwa kiswahili.

Mfano Slay queen aliyeibiwa iPhone, hata siku moja hawezi kusema " MY iPhone has been stolen"

Atasema " YESTERDAY I WENT TO BUY AN IPHONE AT MLIMANI CITY, ILA NILIPOPITA MANZESE IKAIBIWA"

So acheni kuwaambia wabongo waige huo utoto wa Wakenya.

Moderator naomba msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine
 
Nilikuwa sijakupata nilifikiri unawasema Gen z

Because hao ni true heroes for Kenya
Practically hakuna tofauti kati ya Wakenya na Generation Z.

Kwanza huu utoto wa kuwaita watu fulani " Generation this or generation that " ni upuuzi wa hali ya juu. It doesn't make any sense. Ila wakenya wanaona fahari kwa sababu wapo so brainwashed
 
Wakenya hawana lolote wanacho kifanya ni MAIGIZO tu.

Ukiona mbongo anasali kwa kiingereza basi jua hana shida huyo.

Ukiona mtu anaelezea matatizo yake kwa lugha ya kigeni wakati ana option ya kuyaelezea kwa lugha yake mwenyewe basi jua hana matatizo huyo.

Muandamanaji anasema

" we are tired. This government is bad. We are hungry. We don't have food " blah blah blah.

And you are taking him seriously?

Angekuwa ana shida kweli angezitaja kwa lugha mama yake na sio lugha ya kigeni.

Upo na matatizo ya ukweli ukweli unapata wapi muda wa kufanya madoido ya kutumia lugha ya kigeni?

Saikolojia ya lugha inayo muhusu mwafrika inasema mwafrika huwaga anataja matatizo yake kwa lugha mama yake na kamwe hawezi kuyataja kwa lugha ya kigeni ambayo huwa mwafrika anaiona superior language.

Jambo zuri atalitaja kwa kiingereza ila jambo baya ndo atalitaja kwa kiswahili.

Mfano Slay queen aliyeibiwa iPhone, hata siku moja hawezi kusema " MY iPhone has been stolen"

Atasema " YESTERDAY I WENT TO BOUGHT AN IPHONE AT MLIMANI CITY, ILA NILIPOPITA MANZESE IKAIBIWA"

So acheni kuwaambia wabongo waige huo utoto wa Wakenya.

Moderator naomba msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine
Hao wanaotumia kiingereza ambacho unaita ni lugha ya kigeni,wana tofauti gani na wewe ambaye huwa unafanyia mazoezi JF kwa kukitumia kuandika?Acha unafiki wewe muha!Au unawaonea wivu?
 
Wanaopinga kinachoendelea Kenya ni hawa vibaka wa huku, ifike muda vikongwe waelewe vijana ndio wanaishi sasa, ndio walipa kodi wazuri sasa, ndio kundi la watu wenye nguvu kazi.

Naomba haya mapinduzi yapite East Africa yote, na Africa yote, hawa vikongwe wakalee wajukuu, hakuna kitu wanafanya...
 
Wakenya hawana lolote wanacho kifanya ni MAIGIZO tu.

Ukiona mbongo anasali kwa kiingereza basi jua hana shida huyo.

Ukiona mtu anaelezea matatizo yake kwa lugha ya kigeni wakati ana option ya kuyaelezea kwa lugha yake mwenyewe basi jua hana matatizo huyo.

Muandamanaji anasema

" we are tired. This government is bad. We are hungry. We don't have food " blah blah blah.

And you are taking him seriously?

Angekuwa ana shida kweli angezitaja kwa lugha mama yake na sio lugha ya kigeni.

Upo na matatizo ya ukweli ukweli unapata wapi muda wa kufanya madoido ya kutumia lugha ya kigeni?

Saikolojia ya lugha inayo muhusu mwafrika inasema mwafrika huwaga anataja matatizo yake kwa lugha mama yake na kamwe hawezi kuyataja kwa lugha ya kigeni ambayo huwa mwafrika anaiona superior language.

Jambo zuri atalitaja kwa kiingereza ila jambo baya ndo atalitaja kwa kiswahili.

Mfano Slay queen aliyeibiwa iPhone, hata siku moja hawezi kusema " MY iPhone has been stolen"

Atasema " YESTERDAY I WENT TO BOUGHT AN IPHONE AT MLIMANI CITY, ILA NILIPOPITA MANZESE IKAIBIWA"

So acheni kuwaambia wabongo waige huo utoto wa Wakenya.

Moderator naomba msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine
we kaa na mada zako za umalaya ulivozoweshwa .hapa umejishusha zaidi ya kinyesi
 
Kuandamana kwa nchi nzima ni maigizo?

Seriously? Au kwa vile uko tz una type nyuma ya keyboard unajiona unayajua matatizo ya kenya kuliko wakenya wenyewe?
 
Wanaopinga kinachoendelea Kenya ni hawa vibaka wa huku, ifike muda vikongwe waelewe vijana ndio wanaishi sasa, ndio walipa kodi wazuri sasa, ndio kundi la watu wenye nguvu kazi.

Naomba haya mapinduzi yapite East Africa yote, hawa vikongwe wakalee wajukuu, hakuna kitu wanafanya...
Wakalee wajukuu au wakafie maporini?Walee wajukuu ili wawaambukize umburula wao?
 
Mzungu akitaka kuwagawa waafrika anakuja na upuuzi kama gen Z
Unaelewa kwanza maana ya Gen z?

Aina yenu ya waafrika ambao kila aina ya matatizo mnasingizia wazungu, ufisadi wazungu, viongozi wenu wakiwakandamiza wazungu, viongoz wakivurunda wazungu?

Lini mtabeba ya matatizo yenu bila kutafuta excuse?
 
Wakalee wajukuu au wakafie maporini?Walee wajukuu ili wawaambikize umburula wao?
Sahihi mkuu, wapate na BP wafe tu, wameshakula sana nchi, ni muda sasa wa mabadiliko.

Kenya ni next level, nimeona hadi wasanii waki support Gen Z wapo nao pamoja, huku kwetu wasanii wote ni chawa, ni kusifu na kuabudu.
 
Back
Top Bottom