Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Uko Dar es salaam unasema inapiga kazi vizuri vipi kuhusu wakijijini huku?Ttcl inapiga kazi vizuri now hadi nje ya miji inafanya roaming kutoka Tigo,
Airtel pia wana 4G nzur tu now,
Ingekua hii mitandao haipigi kazi ningeacha kuzitumia.
Unaweza kuthibitisha kuwa TTCL wanafanya roaming kutoka Tigo?
.
Lastly Airtel wana 4G Dar es salaam tu