Wakenya chekini ubora wa reli ya Tanzania

Wakenya chekini ubora wa reli ya Tanzania

Ttcl inapiga kazi vizuri now hadi nje ya miji inafanya roaming kutoka Tigo,
Airtel pia wana 4G nzur tu now,
Ingekua hii mitandao haipigi kazi ningeacha kuzitumia.
Uko Dar es salaam unasema inapiga kazi vizuri vipi kuhusu wakijijini huku?
Unaweza kuthibitisha kuwa TTCL wanafanya roaming kutoka Tigo?
.
Lastly Airtel wana 4G Dar es salaam tu
 
Aaah kaka hujaitumia TTCL aisee.
Ile TTCL ni fire fire Haki ya Mungu nakwambia.
Mm naitumia yani sio mchezo speed kama yooteee na ni 4G maatata.
Hahaha tulilazimishwa kila mfanyakazi awe na laini ya TTCL miezi minne iliyopita tukasajili unajua kwanini hatuitumii?
.
Ningekuwa na sim card ya TTCL huku kwenye pori la akiba unadhani ningeingia JF na kutamba? Huku hakuna hata vocha za Tigo sembuse TTCL
 
Sipo Dar now,
Yes inafanya roaming kutoka Tigo , ukitaka kudhibitisha weka line yako ya Ttcl kisha washa roaming.
Uko Dar es salaam unasema inapiga kazi vizuri vipi kuhusu wakijijini huku?
Unaweza kuthibitisha kuwa TTCL wanafanya roaming kutoka Tigo?
.
Lastly Airtel wana 4G Dar es salaam tu
 
Hahaha tulilazimishwa kila mfanyakazi awe na laini ya TTCL miezi minne iliyopita tukasajili unajua kwanini hatuitumii?
.
Ningekuwa na sim card ya TTCL huku kwenye pori la akiba unadhani ningeingia JF na kutamba? Huku hakuna hata vocha za Tigo sembuse TTCL
Kaka katika suala la vocha bado TTCL hazijasambaza.
Hata mm mwaka jana mwez wa 11 nilisajli TTCL Tabora Ndevelwa.
Ilikua inafanya kazi hata ikiwa na mnara mmoja.
Na nilikua naingia net kama kawaida.
Ila kaka angu shidda ilikua vocha.
Vocha yani ilikua tabu kupata mpk ujiunge kwa salio la account yako.
Katika suala la vocha mm nakusapoti,vocha TTCL hawajazisambaza km itakikanavyo.
Ila ishu ya ubora wa mtandao TTCL inapiga kaz kokote maana Ndevelwa kaka nilipoenda kufanya some adventures kulikua polini sana ila tulikua tunawasapuka tuu.
 
Sipo Dar now,
Yes inafanya roaming kutoka Tigo , ukitaka kudhibitisha weka line yako ya Ttcl kisha washa roaming.
Nimefanya mkuu sioni kitu Nakosea wapi? Au kwa sababu na Tigo hawana 3G huku?
 
Kaka katika suala la vocha bado TTCL hazijasambaza.
Hata mm mwaka jana mwez wa 11 nilisajli TTCL Tabora Ndevelwa.
Ilikua inafanya kazi hata ikiwa na mnara mmoja.
Na nilikua naingia net kama kawaida.
Ila kaka angu shidda ilikua vocha.
Vocha yani ilikua tabu kupata mpk ujiunge kwa salio la account yako.
Katika suala la vocha mm nakusapoti,vocha TTCL hawajazisambaza km itakikanavyo.
Ila ishu ya ubora wa mtandao TTCL inapiga kaz kokote maana Ndevelwa kaka nilipoenda kufanya some adventures kulikua polini sana ila tulikua tunawasapuka tuu.
TTCL hawajajitanua kwenye suala zima la internet hata mawasiliano ya kawaida.
.
Hawapatikani maeneo mengi sana Nchini halmashauri ya wilaya ya manyoni hawana hata 3G
 
Umewasha roaming?
Ukiwasha roaming utaona kialama cha R pembeni ya battery bar.
Naufahamu mzuri sana wa haya mambo boss nimefanya kama inavyotakiwa!
.
Unahitaji elimu zaidi kuhusu roaming?
 
Wacha upumbavu wewe. Mlishindwa ku-design na Kupangilia Tandale and Manzese pawe mahali pa binadamu kuishi sasa ndio design ya terminals ndio mtaweza?
Hata ile design ya bunge la Tanzania kule Dodoma ni copy + paste mlijaribu kuiba design ya Bunge la Marekani .That thingy in Dodoma looks ugly.

Sasa kama bunge la Dodoma ni ugly..hilo la kwenu ni the ugliest!!
 
Tukitaka kuangalia tunaenda kwa video za Madaraka Express ,China bullet trains ama Japanese Shinkansen .

In Kenya we're raised to hang around successful grade A+ kids not some D- minus and F grade students kama nyie. And if you want to see exhibit #1 that nyie ni grade F failures did you ever see Kenya's SGR train engine derailing like in Tz?

How did China Implement such an outdated sgr project in Kenya? Where were your A plus Grades?
 
Woi! This is what you call best. I would rather watch paint dry
 
Everyone know kenya is a failed State,
Hata ubold maandishi.
Bold yours too, no restrictions baby!
Everyone knows tanzaGIZA is a cadaverous state.
Ask shusho. She calls it MIFUPA MIKAVU.
'Mifupa mikavu Tanzania uwe hai tena 🎵 🎵 🎵....
 
Sina huo muda wa kubold maana haimake any sense,
Everyone knows kenya is a failed State.
Bold yours too, no restrictions baby!
Everyone knows tanzaGIZA is a cadaverous state.
Ask shusho. She calls it MIFUPA MIKAVU.
'Mifupa mikavu Tanzania uwe hai tena [emoji444] [emoji444] [emoji444]....
 
Back
Top Bottom