Uko Dar es salaam unasema inapiga kazi vizuri vipi kuhusu wakijijini huku?Ttcl inapiga kazi vizuri now hadi nje ya miji inafanya roaming kutoka Tigo,
Airtel pia wana 4G nzur tu now,
Ingekua hii mitandao haipigi kazi ningeacha kuzitumia.
Hahaha tulilazimishwa kila mfanyakazi awe na laini ya TTCL miezi minne iliyopita tukasajili unajua kwanini hatuitumii?Aaah kaka hujaitumia TTCL aisee.
Ile TTCL ni fire fire Haki ya Mungu nakwambia.
Mm naitumia yani sio mchezo speed kama yooteee na ni 4G maatata.
Uko Dar es salaam unasema inapiga kazi vizuri vipi kuhusu wakijijini huku?
Unaweza kuthibitisha kuwa TTCL wanafanya roaming kutoka Tigo?
.
Lastly Airtel wana 4G Dar es salaam tu
Kaka katika suala la vocha bado TTCL hazijasambaza.Hahaha tulilazimishwa kila mfanyakazi awe na laini ya TTCL miezi minne iliyopita tukasajili unajua kwanini hatuitumii?
.
Ningekuwa na sim card ya TTCL huku kwenye pori la akiba unadhani ningeingia JF na kutamba? Huku hakuna hata vocha za Tigo sembuse TTCL
Nimefanya mkuu sioni kitu Nakosea wapi? Au kwa sababu na Tigo hawana 3G huku?Sipo Dar now,
Yes inafanya roaming kutoka Tigo , ukitaka kudhibitisha weka line yako ya Ttcl kisha washa roaming.
TTCL hawajajitanua kwenye suala zima la internet hata mawasiliano ya kawaida.Kaka katika suala la vocha bado TTCL hazijasambaza.
Hata mm mwaka jana mwez wa 11 nilisajli TTCL Tabora Ndevelwa.
Ilikua inafanya kazi hata ikiwa na mnara mmoja.
Na nilikua naingia net kama kawaida.
Ila kaka angu shidda ilikua vocha.
Vocha yani ilikua tabu kupata mpk ujiunge kwa salio la account yako.
Katika suala la vocha mm nakusapoti,vocha TTCL hawajazisambaza km itakikanavyo.
Ila ishu ya ubora wa mtandao TTCL inapiga kaz kokote maana Ndevelwa kaka nilipoenda kufanya some adventures kulikua polini sana ila tulikua tunawasapuka tuu.
Nimefanya mkuu sioni kitu Nakosea wapi? Au kwa sababu na Tigo hawana 3G huku?
Naufahamu mzuri sana wa haya mambo boss nimefanya kama inavyotakiwa!Umewasha roaming?
Ukiwasha roaming utaona kialama cha R pembeni ya battery bar.
Meanwhile TTCL 2gb @tsh 500Duh! That's kshs.114.Safcom is cheaper.
Wacha upumbavu wewe. Mlishindwa ku-design na Kupangilia Tandale and Manzese pawe mahali pa binadamu kuishi sasa ndio design ya terminals ndio mtaweza?
Hata ile design ya bunge la Tanzania kule Dodoma ni copy + paste mlijaribu kuiba design ya Bunge la Marekani .That thingy in Dodoma looks ugly.
Numbers don't lie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa Jamaa kwa misifa tu wameshindikana Mara hii tayari wana takwimu Africa nzima wao ndio wanatumia Sana net die!!
Tukitaka kuangalia tunaenda kwa video za Madaraka Express ,China bullet trains ama Japanese Shinkansen .
In Kenya we're raised to hang around successful grade A+ kids not some D- minus and F grade students kama nyie. And if you want to see exhibit #1 that nyie ni grade F failures did you ever see Kenya's SGR train engine derailing like in Tz?
TANZANIA IS A DEAD STATE π ππMeanwhile TTCL 2gb @tsh 500
TANZANIA IS A DEAD STATE π ππ
TANZANIA IS A DEAD STATE [emoji88] [emoji88][emoji88]
Bold yours too, no restrictions baby!Everyone know kenya is a failed State,
Hata ubold maandishi.
Bold yours too, no restrictions baby!
Everyone knows tanzaGIZA is a cadaverous state.
Ask shusho. She calls it MIFUPA MIKAVU.
'Mifupa mikavu Tanzania uwe hai tena [emoji444] [emoji444] [emoji444]....
Bunge letu lina kitu inaitwa "originality" sio ujinga kama kwenyu ku copy and paste.Huo Tz ni udhaifu wa akili sana.Sasa kama bunge la Dodoma ni ugly..hilo la kwenu ni the ugliest!!
Basi wacha wivu.Mimi huandika nitakavyo as long as situmii dirty language kama danganyikans wengi humuSina huo muda wa kubold maana haimake any sense,
Everyone knows kenya is a failed State.