Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Kwa sasa Rais wa Kenya huenda ndiye akawa kiongozi wa pekee barani Afrika ambaye anatumia ndege ya zamani na chakavu kuliko nchi zote.
Haiingii akilini kuona kuwa hata nchi ndogo ya Rwanda ina ndege nzuri ya Rais kuliko nchi ya Kenya ambayo inajinasibu kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote za Afrika Mashariki.
Hiyo ndege ya Rais wenu ni ndege iliyotengenezwa kwenye miaka ya tisini na najua ilileta mgogoro kwenye kuinunua. Lakini kwa kujali uhai na usalama wa kiongozi wenu, kama majirani naombeni mumnunulie Rais wenu ndege mpya.
Kama hamna uwezo wa kununua ndege kubwa kama hiyo, basi nunueni ndege ndogo ya Learjet 75 ambayo ni superior kiasi cha kufaa kumbeba Rais wenu.
Hilo dege lenu ni la kizamani sana hata tu kwa muonekano linawatia aibu na kuonesha jinsi gani mko so broke...
Chonde chonde, fanyeni mpango wa kununua ndege mpya ya Rais kabla hamjamuua na hilo dude zee kiongozi wenu!
Bombardier Learjet 75 - N342SP
Dege lenyewe kwanza halijulikani kama ni la rangi nyeupe, ya njano au maziwa kutokana na lilivyochakaa...