Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Umeshikwa na wivu.Halafu matajiri wote Bongo ni waarabu na wahindi, kuna yule Mangi alikua anawakilisha nyeusi ila baada ya kuaga dunia hamna mwingine, kazi yenu kukusanyika na kuzaliana huko Tandale.
Hujui tofauti kati ya kuthibitisha na kudhibitisha, na bado mnasema kiswahili ni cha wakenya.Huyu Lazier ni wa kwenu kwani hata hilo jina linadhibitisha hilo.
Sio wote boya ww, na wote ni wazawa, sio wa kwenu wenye dual citizenship, huyo ni mmasai, kuna wachaga na watu kibao.Halafu matajiri wote Bongo ni waarabu na wahindi, kuna yule Mangi alikua anawakilisha nyeusi ila baada ya kuaga dunia hamna mwingine, kazi yenu kukusanyika na kuzaliana huko Tandale.
Sio wote boya ww, na wote ni wazawa, sio wa kwenu wenye dual citizenship, huyo ni mmasai, kuna wachaga na watu kibao.
Wivu tu, na bado.
walifikia hatua ya kutangaza wamegundua mgodi wa tanzanite HahahahahaSafari hii Mjomba Magu kawashika pabaya .Yale Mambo yenu yakujitangaza nyie ndiyo wazalishaji wa Tanzanite hakuna tena
Mbona mnatumia calculator hata ktk mambo yasiyoihitajika!!!hapa ni ufahamu unatakiwa sio kukariri.[emoji1][emoji1][emoji1] Sarafu ya majirani ni hela ya madafu sio mchezo, hizo hela kwa KES ni kama 340 Million lakini Tz jamaa anaitwa bilionea.
Suala sio B7, suala ni kuwa amezipata overnight, Overnight dollar Milionaire, Amelala hana hata Mia ameamka na Bilioni7, lazima atangazweB 7 dunia inakutambuaje?
350M KSH, Lots of money whether upo Kenya au Tz.Kwani Bilion 7 za tz ni sawa na Ksh ngapi?
Ok let's asume ni Ksh, 340M is lot of Money hapo Kemya, It can build a 7Km tarmac road, or or 15-20 apartments, and here what matters sio the amount, but how the fella made it, from poor to rich overnight[emoji1][emoji1][emoji1] Sarafu ya majirani ni hela ya madafu sio mchezo, hizo hela kwa KES ni kama 340 Million lakini Tz jamaa anaitwa bilionea.
Aisee ni bora umetoa angalizo mapema.Nimeshangaa Wakenya hadi sasa hawajamtambulisha huyu Laizer kwamba ni wa kwao na hiyo Tanzanite aliyoipata kaichimba Mererani ya Kiambuu.
View attachment 1487911
Povu ni la nini majirani? Mimi nimefanya tu coversion Tshs-KES. Unasema huyo manzi alikuwa na 2KES akapewa 45tzshs. walizitoa wapi wakati sarafu yenu ndogo kabisa ni shilingi mia? [emoji1] Hivi unajua hii bidhaa Kenya madukani unainua kilo mbili kwa hiyo hiyo bei ya kilo moja nchini Tz?Mbona mnatumia calculator hata ktk mambo yasiyoihitajika!!!hapa ni ufahamu unatakiwa sio kukariri.
340millin ksh,inafanya nini hapo kenya???au ndio ile power purchasing iko very weak[emoji16][emoji16][emoji16].
Maana yupo manzi ali change 2ksh,akapewa 45tsh akatoka machozi,hakuamini vitu alivyonunua,tofauti na upuuzi angefanyia 2k akiwa kenya[emoji23][emoji23].
Wewe samaki usiye na magamba,unadhani hiyo ndio bei ya sukari kila siku!!!!Povu ni la nini majirani? Mimi nimefanya tu coversion Tshs-KES. Unasema huyo manzi alikuwa na 2KES akapewa 45tzshs. walizitoa wapi wakati sarafu yenu ndogo kabisa ni shilingi mia? [emoji1] Hivi unajua hii bidhaa Kenya madukani unainua kilo mbili kwa hiyo hiyo bei ya kilo moja nchini Tz?
Mungu ambariki sana Raisi wetu Magufuli,,, kaweza kabisa kuwathibithi wakenya walikuwa kila kizuri cha bongo wanakipa trademark ya kenya hata haya mawe ya tanzanite walikuwa wanajifanya ni ya kwao na duniani walikuwa wanajulikana wao ndio wanazalisha wao na rafiki zao akina kanjubai wa bombai lakini mwanasayansi kajenga ukuta na kuanzisha masoko ya ndani sasa wakenya wakachoonge machupa wasemi ni tanzanite wakawauzie wazungu maana zile za magendo hazipatikani tenaHivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
pesa mbuzi sana.Kwani Bilion 7 za tz ni sawa na Ksh ngapi?
pata kidokezo kidogo >>>walifikia hatua ya kutangaza wamegundua mgodi wa tanzanite Hahahahaha
Tofauti ni gani mhenga wa kiswahili?Hujui tofauti kati ya kuthibitisha na kudhibitisha, na bado mnasema kiswahili ni cha wakenya.
Mbana usiweke link hapa? Unatutuma twitter kwa sababu sio ukweli.Nenda twitter.com search Tanzanite utaona habari zake zimeripotiwa na mainstream media kubwa zote duniani.
Pesa mbuzi??na unalipwa 12k kwa mwezi[emoji16][emoji16][emoji16]pesa mbuzi sana.
ya breakfast pekee.
Sportpesa jackpots watu walikuwa wanashinda almost that amount,Kenya hamna fursa yoyote ya kufanya Mkenya wa kawaida kabisa kuwa dollars millionaires, hamna.