Wakenya, huyu Laizer siyo wa kwenu?

Wakenya, huyu Laizer siyo wa kwenu?

Halafu matajiri wote Bongo ni waarabu na wahindi, kuna yule Mangi alikua anawakilisha nyeusi ila baada ya kuaga dunia hamna mwingine, kazi yenu kukusanyika na kuzaliana huko Tandale.
Umeshikwa na wivu.
 
Halafu matajiri wote Bongo ni waarabu na wahindi, kuna yule Mangi alikua anawakilisha nyeusi ila baada ya kuaga dunia hamna mwingine, kazi yenu kukusanyika na kuzaliana huko Tandale.
Sio wote boya ww, na wote ni wazawa, sio wa kwenu wenye dual citizenship, huyo ni mmasai, kuna wachaga na watu kibao.
Wivu tu, na bado.
 
Sio wote boya ww, na wote ni wazawa, sio wa kwenu wenye dual citizenship, huyo ni mmasai, kuna wachaga na watu kibao.
Wivu tu, na bado.

Hehehe!! Na mtaliwa sana, tatizo Watanganyika weusi mko wazembe sana.....
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Sarafu ya majirani ni hela ya madafu sio mchezo, hizo hela kwa KES ni kama 340 Million lakini Tz jamaa anaitwa bilionea.
Mbona mnatumia calculator hata ktk mambo yasiyoihitajika!!!hapa ni ufahamu unatakiwa sio kukariri.

340millin ksh,inafanya nini hapo kenya???au ndio ile power purchasing iko very weak[emoji16][emoji16][emoji16].

Maana yupo manzi ali change 2ksh,akapewa 45tsh akatoka machozi,hakuamini vitu alivyonunua,tofauti na upuuzi angefanyia 2k akiwa kenya[emoji23][emoji23].
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Sarafu ya majirani ni hela ya madafu sio mchezo, hizo hela kwa KES ni kama 340 Million lakini Tz jamaa anaitwa bilionea.
Ok let's asume ni Ksh, 340M is lot of Money hapo Kemya, It can build a 7Km tarmac road, or or 15-20 apartments, and here what matters sio the amount, but how the fella made it, from poor to rich overnight

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnatumia calculator hata ktk mambo yasiyoihitajika!!!hapa ni ufahamu unatakiwa sio kukariri.
340millin ksh,inafanya nini hapo kenya???au ndio ile power purchasing iko very weak[emoji16][emoji16][emoji16].
Maana yupo manzi ali change 2ksh,akapewa 45tsh akatoka machozi,hakuamini vitu alivyonunua,tofauti na upuuzi angefanyia 2k akiwa kenya[emoji23][emoji23].
Povu ni la nini majirani? Mimi nimefanya tu coversion Tshs-KES. Unasema huyo manzi alikuwa na 2KES akapewa 45tzshs. walizitoa wapi wakati sarafu yenu ndogo kabisa ni shilingi mia? [emoji1] Hivi unajua hii bidhaa Kenya madukani unainua kilo mbili kwa hiyo hiyo bei ya kilo moja nchini Tz?
2370834_professorjaytz-20200417-0001.jpg
 
Wewe samaki usiye na magamba,unadhani hiyo ndio bei ya sukari kila siku!!!!

Manzi alikuwa na 2kksh.NUGU wahedi.
 
Hivi huyo hapo ni bilionea kwa hela ipi, ile ya kwenu madafu au, maana kwenu huko kuitwa bilionea ni jambo ndogo saana maana mnatumia hela inayotunisha mifuko na kuchosha kuibeba ilhali haina thamani.
Mungu ambariki sana Raisi wetu Magufuli,,, kaweza kabisa kuwathibithi wakenya walikuwa kila kizuri cha bongo wanakipa trademark ya kenya hata haya mawe ya tanzanite walikuwa wanajifanya ni ya kwao na duniani walikuwa wanajulikana wao ndio wanazalisha wao na rafiki zao akina kanjubai wa bombai lakini mwanasayansi kajenga ukuta na kuanzisha masoko ya ndani sasa wakenya wakachoonge machupa wasemi ni tanzanite wakawauzie wazungu maana zile za magendo hazipatikani tena
 
Nenda twitter.com search Tanzanite utaona habari zake zimeripotiwa na mainstream media kubwa zote duniani.
Mbana usiweke link hapa? Unatutuma twitter kwa sababu sio ukweli.
 
Kenya hamna fursa yoyote ya kufanya Mkenya wa kawaida kabisa kuwa dollars millionaires, hamna.
Sportpesa jackpots watu walikuwa wanashinda almost that amount,
Huyo ni millionaire not billionaire.
 
Back
Top Bottom