Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtupe siri ni githeri ndio inatoa iyo energy au hua mnakula nn ndugu zetu lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hizo jamii huko pia.Siri wala hata sio msosi, ni kuwa obsessed na kitu unachokipenda, ukiwa na utashi wa kitu fulani unakiwaza muda wote, unajitia shauku la kufa mtu, yaani hadi ukifanikishe, unakua chizi fulani hivi. Akina Elon Musk na Ronaldo ndio zao hizi.
Elon Musk kuna wakati hujifungia ofisini wiki inaisha, kwa siku anapiga kazi masaa 17, wafanya kazi wanamuaga jioni na kumkuta asubuhi.
Ronaldo hupiga zoezi masaa manne kila siku, siku tano kwa wiki, inyeshe mvua ya masika au jua liangaze la kupasua vichwa huwa habadilishi hiyo ratiba.
Mimi binafsi pia nimejitoa ufahamu kwenye kitu fulani napambana nacho, nimefanya maamuzi ya huu uchizi na kuupokea kichwa kichwa. Nina imani Afrika tukiamua, kila kitu kinawezekana.
Siku wazungu wakiwashtukia kuwa mnatumia mitishamba kuongeza nguvu ambayo wakipima kwa vipimo vyao inashindikana mmekwisha
Hawa jamaa niliwakubali sana...walitoka msa, nairobi wakakatiza mpka moyale na kuingia ethiopia km sikoseiHauhitaji mitishamba kuyafanya haya, kumbuka sio mashindano, jamaa watakimbia siku tano ina maana watakua wakikodi na kulala kwenye mahoteli.
Ukipania unayafanya, unaweza ukaanza hapo kitaa, siku moja unakwenda kilomita moja halafu taratibu kadiri siku zinavyokwenda unaongeza kilomita, ipo siku utajikuta unaunganisha Dar-Moro.
Pia kama kukimbia kunashindikana basi nunua baiskeli, unakatiza nayo hadi mikoani.
Kuna madogo hapa Kenya waliendesha baiskeli hadi Mecca kuhiji
Hongereni sana majirani. Miaka ya nyuma (enzi za kina Filbert Bayi) hata sisi tulikuwa wazuri kwenye riadha lakini alipokuja Waziri wa Elimu Joseph Mungai (ndugu yenu) akafuta michezo mashuleni na kila kitu kuanzia hapo kikaenda ovyo kabisa. Yaani tumefeli kwenye michezo yote!🤔...Halafu sio wanariadha wa kila siku tuliowazoea, hawa ni wadau wa kawaida tu, wanafanya maandalizi ya kukimbia kutokea Nairobi hadi Moshi, Tanzania kwa siku tano.
Yaani mzuka wa ajabu sana huu, dah!
Yote wanafanya kule Strava.
View attachment 1303668
Hongereni sana majirani. Miaka ya nyuma (enzi za kina Filbert Bayi) hata sisi tulikuwa wazuri kwenye riadha lakini alipokuja Waziri wa Elimu Joseph Mungai (ndugu yenu) akafuta michezo mashuleni na kila kitu kuanzia hapo kikaenda ovyo kabisa. Yaani tumefeli kwenye michezo yote!🤔...
Haha! Hatulaumu lakini ukweli lazima usemwe, sasa utajirekebishaje kama hujatafuta kujua mzizi wa tatizo? Mbona hata Kenya huwa mnalaumu sana, mmeshamlaumu sana Moi, mara Jomo Kenyatta, mara tatizo nchi ni kame, mara sijui Mchina kafanyaje!🤣🤣 Hii ndiyo Afrika, kila mmoja anapambana na hali yake...Hehehe!! Huwa napenda mnavyojua kuelekeza vidole vya lawama Kenya kwa kila pungufu lenu, hamna siku hata moja huwa mnajielekezea kidole wenyewe. Mzembe siku zote hakosi mtu wa kumlaumu kwa kila anguko, ila wenye bidii wakidondokea pua hunyanyuka na kufuta vumbi na kulianzisha upya.
Huyo Mungai sio mara ya kwanza kuwaskia mkimlaumu kwa kila kitu huko kwenu, ila ni vigumu kuwaelewa kwenye haya ya lawama, mara mlaumu Mungai, mara ujamaa, mara Mkapa, mara Kikwete, mara mzee ruksa, mara Mjerumani aliyewakoloni mwanzo, mara vita vya Idd Amin, mara Kenya....yaani lawama kushoto kulia.
Leo hii mzee Magufuli ndio yaani mumemlaumu hadi kajizeekea balaa...hehehehe
Ni desturi mbovu sana ya kuishi maisha ya kulaumu laumu tu, na lipo hata kwenye maofisini huko, hakuna anayekubali kuwajibika, kwamba kete imesimama kwake na yeye ndiye anategemewa, lazima atafuta wapi pa kuisogeshea.
Tungewiga kwenye hayo ya lawama kwenye kainch ketu haka ambako zaidi ya nusu yake n kame tupu na hatuna madini dah! yaani sijui tungeshi vipi...
Haha! Hatulaumu lakini ukweli lazima usemwe, sasa utajirekebishaje kama hujatafuta kujua mzizi wa tatizo? Mbona hata Kenya huwa mnalaumu sana, mmeshamlaumu sana Moi, mara Jomo Kenyatta, mara tatizo nchi ni kame, mara sijui Mchina kafanyaje!🤣🤣 Hii ndiyo Afrika, kila mmoja anapambana na hali yake...
Hongereni sana majirani. Miaka ya nyuma (enzi za kina Filbert Bayi) hata sisi tulikuwa wazuri kwenye riadha lakini alipokuja Waziri wa Elimu Joseph Mungai (ndugu yenu) akafuta michezo mashuleni na kila kitu kuanzia hapo kikaenda ovyo kabisa. Yaani tumefeli kwenye michezo yote!🤔...
Haha! Siwezi kumlaumu mtu kwa kabila lake au sehemu anayotokea, hata kwenye suala la Joseph Mungai niliposema ndugu yenu ilikuwa jokes tu ila wewe ukachukulia serious. Kama ni kufanya madudu mbona huyu haingii hata robo ya ujinga wa viongozi wengine wengi wa mambo ya ovyo...Bishop Hiluka
Huyu hapa mwingine mwenye jina la Kikenya..yaani Njaga
Naye naona kakurupuka, hapa mtamsema hadi raha
![]()
Sawa bhana, endeleeni kupiga mapicha sisi tutaendelea kuwa wapenzi watazamaji...Tofauti yetu na nyie ni kwamba sisi tutalaumu lakini tunapambana na kusonga mbele, ila nyie mumekaa hapo hapo mnalaumu, mpaka leo hamsikiki kwenye michezo, mkiulizwa mnalaumu kote kote. Sisi utatusikia tukilaumu Kenyatta, Moi ila hapo hapo utatuona kwenye mapicha kama haya.
![]()
Tukifanya vitu kama hivi. 😎Tofauti yetu na nyie ni kwamba sisi tutalaumu lakini tunapambana na kusonga mbele, ila nyie mumekaa hapo hapo mnalaumu, mpaka leo hamsikiki kwenye michezo, mkiulizwa mnalaumu kote kote. Sisi utatusikia tukilaumu Kenyatta, Moi ila hapo hapo utatuona kwenye mapicha kama haya.
![]()