Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #61
ahaaaa sijaelewa mwenzangu birika la nini chooni?Kuna mzee wa ki-Jaluo alipanga nyumba uzwaz, anamuona baba mwenye nyumba kila siku anakwenda maliwatoni na birika chakavu. alipanda juu ya mnazi kuchungulia alifikiri anaenda kunywa chai chooni. Alipoona shughuli ya birika alienda kuwaambia wenzake ofisini, wa-TZ wanapiga deki makota.