chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Taarifa kutoka wizara ya afya ya Kenya imeeleza,siku ya kesho ,watapokea chanjo ya corona ya Astra zenecca dose million 1.02,aidha wizara ya afya nchini Kenya imeeleza utoaji wa chanjo hiyo,utatoa Kwanza kipaumbele kwa wahudumu wa afya,na wafanyakazi wa umma.
Kenya ni nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya corona katika ukanda wa afrika mashariki,ikiripoti maambukizi mengi zaidi na vifo,tangu ugonjwa wa corona uingie nchi za afrika mashariki.
Chanzo: ITV