Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It seem like kichekesho kwa badhi yetu, hali sio nzuri mtaniNaona aluke juu, akitua nailobi wamtandike chanjo ya kolona 🤣🤣🤣
Acha porojo mkuu, kijana huwezi kuja hapa na simulizi za kitoto hizo...kuna nchi moja waliwapa watoto wa shule dawa za minyoo, walipokuwa wakubwa wakaushtuka viungo vya uzazi vimesinyaa na kukauka kabisa. sasa hivi ni watu wazima lakini hawana uwezo wa kuzaa.
Si kweliAcha kujidanganya na kukufuru Mungu.
Usidhani ukipata hizo chanjo ndo umemaliza kila kitu.maaana chanjo zenyewe zipo kwenye majaribio.
Umesoma epidemiology ya Covid 19? at least for the available epidemiological information as this is a novel disease
Si kweli
Kusema kweli watanzania wanahitaji kuelimishwa upya na sio tu kuhusu virusi vya COVID-19 au chanjo. Yaani "refresher course' moja kali ya elimu kuhusu masuala yote chini ya jua. Sio kwa baadhi ya hizi comment za kipumba ambazo wanatupia kwenye uzi huu. Yaani hadi ukizisoma unabaki ikijiuliza kama akili zenyewe ni za sokwe au labda kima. Elimu, elimu, elimuuu!Clearly Ignorance and Superstitions bear close relations to each other.When will u stop bieng superstitious and start using ua brains.Kweli Mataga ni mataga tu
Hawa sijui nani kawaroga haki,,,elimu bado shida (wengi vichaa) These morons Seriously need physcriatic attentionKusema kweli watanzania wanahitaji kuelimishwa upya na sio tu kuhusu virusi vya COVID-19 au chanjo. Yaani "refresher course' moja kali ya elimu kuhusu masuala yote chini ya jua. Sio kwa baadhi ya hizi comment za kipumba ambazo wanatupia kwenye uzi huu. Yaani hadi ukizisoma unabaki ikijiuliza kama akili zenyewe ni za sokwe au labda kima. Elimu, elimu, elimuuu!
Hailazimishwi, it's your choice!Siwezi kubali chanjo hiyo
Wacha hata za minyoo, za tetanus, tetemaji, polio, TB, whooping cough na kadhalika zimekuwa zikipeanwa tangu siku ya kwanza kuzaliwa ndio maana sahi hushikwi na magonjwa hatari ovyo tu, sembuse hii ya corona eti ukatae na wayaona madhara yake?ila naona dawa za minyoo mnazikubali, tena za kutokea kwa hao hao mabeberu, kweli nyie ni kituko cha dunia... Hili la ugawaji wa dawa za minyoo Shule za Msingi limekaaje?
Hata nyie mta chanjwa tu mda hauja fikaLazima wachanjwe
[emoji867]Hawa sijui nani kawaroga haki,,,elimu bado shida (wengi vichaa) These morons Seriously need physcriatic attention
Kipaumbele kwa watumishi wa umma ina-make sense, lakini watumishi wengine wa umma pia sioni mantiki. Sasa hiyo milioni moja ni awamu ya kwanza au sehemu ya majaribio? Wakenya wawapime afya ambao watapewa chanjo kabla na baada kwa kipindi kirefu ili kuona madhara yake, inagwaje yanaweza tokea baada ya muda mrefu kama yapo.Taarifa kutoka wizara ya afya ya Kenya imeeleza,siku ya kesho ,watapokea chanjo ya corona ya Astra zenecca dose million 1.02,aidha wizara ya afya nchini Kenya imeeleza utoaji wa chanjo hiyo,utatoa Kwanza kipaumbele kwa wahudumu wa afya,na wafanyakazi wa umma.
Kenya ni nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya corona katika ukanda wa afrika mashariki,ikiripoti maambukizi mengi zaidi na vifo,tangu ugonjwa wa corona uingie nchi za afrika mashariki.
Chanzo: ITV