Wakenya kesho rasmi kuanza kupigwa chanjo ya Corona

Wakenya kesho rasmi kuanza kupigwa chanjo ya Corona

Wakenya chanjo inaendeleaje huko 🇰🇪
 
But, why do we need this particular so called Vaccine,
Covid-19 vaccine is a typical mRNA meant to instruct your immune system to produce immunoglobulin specific to Covid-19 when your body can do the same without instructions from an artificial molecule,
Ni hivi Ukichomwa sindano wanayoita vaccine unashauriwa kuendelea kuvaa mask, social distancing, self hygiene kama kawaida,
And infact you need do double your mask and there is no guarantee on the safety,
Meanwhile the pharma companies are not liable to any side effects of their vaccines.
And to make the matters worse, the Virus is mutating continuously, there are more and more strains, now Nigerian Strain and South African Straina, both of which the vaccine especially AstraZeneca one is not significantly effective against the variants.

Kiswahili hawezi kusoma, English atakiwezea wapi basi!??? Unamwonea bure. Ungefanya tu kumkubalia as if yuko sahihi, angelala kwa utulivu leo. Lakini ndiyo hivyo tena ^Ayaah washanichaganya^ ~ Jotti
 
Chanjo ya corona haijafanyiwa experiment ya kutosha sasa nyinyi wakenya ngoja mfanyiwe experiment. Lakini nimeona ripoti ya Madaktari wa RC wa Kenya wanakataa vaccine

Nyie experiment gani mnajua ikiwa hata panadol mnaagiza, kwenu huko mnaendelea kuwatoa watu wenu kafara kwa ujinga wenu huo, mpaka kanisa limeongea na kushangaza dunia kwa namna wamepoteza viongozi na watawa kimya kimya, mnakufa kama mifugo na kwa mlivyo wpumbavu mnaificha na kuendelea na hizi pumba za kujiaminisha vitu vyaa hovyoo.
Sasa nimeona sehemu watakaoenda kuhiji mecca lazima wachanjwe, mtaendelea kubaki kwenu huko kwa huo upumbavu, ila Watanzania wenye hela yao watakuja Kenya kupokea chanjo kimya kimya huku walalahoi mkiendelea kudaganywa huo uzalendo huko Mbagalla, ujamaa ni laana ya kijinga.
 
Nasikia kabla ya chanjo wanachovya kisamvu kwanza kule ikuluni.Mk24 atujibu.
 
Taarifa kutoka wizara ya afya ya Kenya imeeleza,siku ya kesho ,watapokea chanjo ya corona ya Astra zenecca dose million 1.02,aidha wizara ya afya nchini Kenya imeeleza utoaji wa chanjo hiyo,utatoa Kwanza kipaumbele kwa wahudumu wa afya,na wafanyakazi wa umma.

Kenya ni nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya corona katika ukanda wa afrika mashariki,ikiripoti maambukizi mengi zaidi na vifo,tangu ugonjwa wa corona uingie nchi za afrika mashariki.

Chanzo: ITV
Shehena ya Tz iko njiani...hizi habari nimepenyezewa toka jikoni kabisa
 
Back
Top Bottom